


haya yote yanatoka wapi mkuu, game 2 kati ya game 5 ulizoanzwa kutanguliwa ndo umeshinda bado haikuweki kwenye hoja na kauli uliyotoa mwanzo.
Mimi nimekuonyesha zaidi ya game 3 ulizoanza kufungwa na ukatoka patupu nikimaanisha kauli yako si kweli.
Ukileta game 2 tu kama ndo utetezi wa hoja yako bado utakuwa unakosea .
Chelsea ana comeback 2, man utd 2 na arsenal nae 2 sasa kauli uliotoa technically ni kama arsenal ni master wa comeback vile wakati si kweli.
Team pekee ambayo hata ikifungwa watu hawashtuki wanajua itashinda ni liverpool tu game na soton, brighton, Leicester city, arsenal, fulham zote hizo kafanya comeback sasa ww game 2 unataka kuchukua sifa ambazo huna .
Haya ya sijui malezi na stern family achana nayo . Upbringing yangu imetoka kwa wazazi ambao walikua wanapendana reasons na sababu zenye mashiko zaidi. Ni kweli tangu nasoma kipindi hicho nilikua napenda mijadala zaidi kuliko chochote kile hata shule walikua wananiita mbishi . Mabishano nayapenda siwezi kukataa tena yawe ya kujenga hoja zaidi .
Lakini sasa mzee kukuchalenge kidogo tu mzee unakimbilia kwenye vitu visivyopo kabisa


huna ustamala mzee wangu anapenda kusema ivyo . Argument iwe argument usikimbilie kwenye personal attack , personal attack ni dalili ya kushindwa.
Yote kwa yote vipi kombe mnachukua ?? Naona saivi unalikataa kabisa ila ni maombi yangu mlichukue wanangu

nipo pamoja nanyi .