Arsenal (The Gunners) | Special Thread


asante sana kwa hili
 
Jack Grealish alinunuliwa kwa 100M mwaka 2024 umeisha hajafunga hata goli moja. Kwanini hamna anayeongelea hili?

Man city is not relevant. Same na Antony na united.

Why have these two guys failed? I mean they are skilled miguuni na wana pace so what's the issue?

Mmoja ni timu aliyotokea mwingine ni ligi aliyotokea.

Against Villa ni timu chache zitaamua kupaki basi. Against zingine zote Villa itakua inafanya mid block na kusubiri wapinzani waingie upande wao kisha long ball moja au through ball, pace ya kutosha then Grealish anajikuta yupo 1 v 1 na kipa.

So it was easier akiwa Villa, akiwa city 1 v 1 anaipata dhidi ya mabeki 4 awaache ndiyo aipate 1 v 1 na kipa. Nakumbuka Arsenal tuliwahi kuhusishwa naye, the closest nilichoona ni siku shabiki alipomuuliza kama atakuja Arsenal, akatabasamu tu.

Arsenal wapinzani wake wengi wanafanya low block, Rashford anatoka timu ambayo hua haifanyiwi low block. Mambo ya Grealish hayawezi jirudia? Mtoe Martinelli muweke Rashford kisha wazia kwa mfano mechi ya jana ni kipi Rashford angeweza kufanya kikawa na faida?
 
Partey ni mtu na nusu, ananikumbusha enzi zangu nikicheza namba 6.
ahahahah! Bro najua Partey ije mvua lije jua huwezi kumkataa, mimi nilimkataa sio kwamba hajui mpira ila ni makosa madogo madogo yaliyomnyima point kama Holding mid, leo Rodri ana ballon d'or ingawa partey is more talented than Rodri, sisi wachumi tunajaribu ku economize kwenye kila kitu even football , always we look for the optimal output, tunataka uoneshe ubora ule mungu aliokupa consistently, na hii ndio case ilofanya kuumia nikiona TP ana underperform, not otherwise.
 
.. .Martinel. .. ..... Jesus. ........ Nwaneri


. .Rice. . Partey. . Odegar.

.
... L skelly. Saliba. Gabi. . Calafiori


. . . ....Raya...


Sub: ziny, merino, trosad, joginho
 
.. .Martinel. .. ..... Jesus. ........ Nwaneri


. .Rice. . Partey. . Odegar.

.
... L skelly. Saliba. Gabi. . Calafiori


. . . ....Raya...


Sub: ziny, merino, trosad, joginho
Kiwior hawezi mbavu ya kulia ili Calafiori abaki kushoto?
 
.. .Martinel. .. ..... Jesus. ........ Nwaneri


. .Rice. . Partey. . Odegar.

.
... L skelly. Saliba. Gabi. . Calafiori


. . . ....Raya...


Sub: ziny, merino, trosad, joginho
Tierney kashacheza kulia. Kwanini isijirudie?
 
Hahaa.. Hakuna tabu, tuko pamoja, tunaendelea na gurudumu la the gunners.
 
Calafiori ni risk taker na hapo umemuweka kushoto, imagine akiwa kulia.

Kiwior ana cross nzuri sana jamaa. Ni fair akiwa LB kabisa
Kwior ni mzuri lakini tujiandae kuingia tukihesabu moja bila tayari tuanze kusawazisha na kutafuta ushindi, lazima achome ashalemaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…