Punda kabisaBeki mjinga sana huyu..KENGE nyie
Punda kabisaBeki mjinga sana huyu..KENGE nyie
Umenikumbusha mbali saana, nahisi ubishi ulianzia kwangu, kwakuwa mie sipendi pendi ligi nikaamua nivunge tu 🤣😂Hahaha ni Will Jr
Alisema anabahatisha. Nahisi umehisi ni mimi coz niliwahi argue naye juu ya hilo na ikawa points nyingi za kumpinga anatoa kwenye page nonewith
Sare!!!!!? Sare haiwezekani, kitambaa hakitoshi 🤣😂Brentford tunazingua sana aisee, Ngoja tupambanie ht sare tuu 😭
Sub nzuriIn response Arteta anafanya sub tatu
Anaingia Rice, Trossard na Myles. Anatoka Merino, Calafiori na Nwaneri
Mnacheza na nani mechi ijayoBrentford tunazingua sana aisee, Ngoja tupambanie ht sare tuu 😭
Tutacheza na SouthamptonMnacheza na nani mechi ijayo
😂😂😂😂😂 cash money nafurahi sana hivi unavyotaka uongezewe hela kwa wachezaji wa chelsea😂STERLING ana matatizo ya kiufundi, soon mtaona moto wake. Wazee tuongezeni angalau pesa kidogo kwa Sterling mashine ya kazi. Acheni ubahili basi
Arsenal ipi hii ya sasa?? mmh!!! ila sishangai maana false hopers suala la kuamini kwenu ni suala mtambuka😂.Arsenal ni timu ambayo inaaanza kufungwa na unaamini itashinda