makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,441
- 108,486
Nimefurahi mnooLeo Kai anakua subbed
Nipo Comrade....
Shogaake boss kubwa.Kai ni fala
Manure mmewaacha city pwenti ngapi? Au mmezoea kuburuzwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kitu cha kuchekesha zaidi ArsaniNyau wanaojiona wako vizuri na kuwacheka Manshit lakini wamepishana points3 tu.View attachment 3181775
Yule Raya ni kama magician hachoki kukushangazaAfu kuna wahuni wa manunu wanamfananisha raya na onana....!
Habari mbaya sana hii 🙆Saka is out with an hamstring injury.
Ametumika sana.Saka is out with an hamstring injury.
😃😃niliona hii kitu, yeye ni kupalamia tu watu bana.. 😃Duh huyu Calafiori mpaka mwenzie anamwambia polepole...