Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Bado tu hujamove on??!
 
Leo namuua Crystal Palace kuweka akili sawa. Badda ya leo, kila akatizae mbele yetu ataambulia 5G
 
Kiswahili kigumu sana au wewe ni dyslexic
Jifunze kukubali matokeo, wewe siku zooote hizo miaka karibu mi2 unae tu rohoni. Jaribu kumuelewe alifuata moyo wake. Kama wewe ulivyoamua kushabikia Arsenal ambayo haina mbele wala nyuma.
 
Jifunze kukubali matokeo, wewe siku zooote hizo miaka karibu mi2 unae tu rohoni. Jaribu kumuelewe alifuata moyo wake. Kama wewe ulivyoamua kushabikia Arsenal ambayo haina mbele wala nyuma.
Swali langu jepesi tu wewe kwako kiswahili ni kigumu au ni dyslexic?
 
Leo ni carabao cup knockout stage gainst Palace.

Serious concern tuliyonayo ni majeruhi tulionao, Rice na Odegaard kuna uwezekano wasiwepo, ambao ni majeruhi hawana dalili ya kupona. Neto hawezi kucheza hii mechi kwakua tayari alishawahi kucheza.

Funny enough ni kwamba Sisi na Palace wote tuna changamoto ya kuscore.

Nketiah hajawa hatari kwa Palace inhawa walilipa 25M hata hivyo tunakutana huku sisi tukiwa kwenye kipindi kibaya wakati Palace kwa sasa wamegain momentum kulinganisha na walivyoanza msimu.

So Palace akianza kuscore inawezekana mechi ikawa imeshaisha. Kwakua hii ni carabao inawezekana hata kama Odegaard na Rice wangekuepo wasingechezeshwa so let's wait n see
 
Palace 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Leo nitachekea chooni ili shemeji yenu asinyime utam yeye Ni arsenal Lia lia
 
Nyie KENGE mpo kweli
 

Attachments

  • 20241218_223353.jpg
    691.5 KB · Views: 30
Palace hapo wanatest mitambo kwa ajili ya maangamizi hapo Jmos πŸ˜‚
 
Japo siangalii mechi ila najua tuu mtakuwa mmefungwa goli zuri sana mana ASSANAL hua mnafungwa magoli mazuri tuu ya kideo πŸ˜‚
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…