Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Itakua hujanikamata sawasawa.

Kwa ninavyoelewa rungu linaanza wafuata msimu ujao
Na bado hamjaasema ,mtasema mwaka huu .
Karai ya zege ndio ubingwa wenu ,mtabeba karai la zege tu .
Shuwain , tangu lini Arsenyetoz awe bingwa , we uliona wapi ?
 
False hopers mpo? nakumbuka kuna siku jamaa mmoja alisema chelsea na ubovu wake ule atakua vizuri na atachukua EPL kabla ya Arsenal. Nikameambia alichosema ni kama utani lakini ndo ukweli wenyewe.

Na kuna false hoper mmoja alisema pep akisepa basi arteta atatawala sana EPL.
huwezi kuchukua EPL kwa kutegemea magoli ya kona πŸ˜‚.
Arsenal katika ubora wake eti mafanikio ni kushika nafasi ya 2 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ubingwa chini ya utawala wa Guardiola watu wanachukulia rahisi sana. Hizi sio zama za fergie na Mourinho. Kumkosa mchezaji mmoja tu unapotea kwenye ramani, case study Man city na Rodri
 
Mimi nadhami timu yetu iliundwa kuwa na wachezaji bora nyuma, build up yetu ndio mafanikio yetu, mbele tuna subpar players apart from Saka ambao wanahitaji a lots of chances to make it happen, i think tuna a lot of system players, they cant make difference on their own wanahitaji system kufanya vizuri, na system inategemea zaidi wachezaji wa nyuma, hivyo hizi injury za kina Calafiori, zinny, tomiyasu, hata timber at times zimeturudisha sana nyuma.

We dont have a lots of difference makers upfront( Real Madrid level), kama system yoyote inaweza ku- nullify system yetu we become helpless. Hapa ndio maoni ya watu kama Makaveli kuwa tunahitaji Strikers wanaoweza kumake difference yanamake sense. Either kocha akubali ku-balance those dynamics au tutafute difference makers up front( Rafa leao & Osimhen) that's a way forward.

Ku balance dynamic i mean kukubali kuwa Kai & Martinelli ni system players, sasa ni namna gani ya kuwa-unlock ni kuleta wachezaji au viungo wanaobalance ubora wao. Mfano Kai au martinelli ni runners in behind so unahitaji viungo ambao ni good passers wanaoweza kutake risk ili kuwabalance hawa wawili vinginevyo we cant get the best out of these joes, au wasajiliwe wachezaji ambao ni generalists kwenye nafasi hizo.
 
Arteta anajua exactly tatizo letu ni in possession duties esp. chance creation thats why we rely too much on set pieces but he becomes stubborn cuz of his love for odegaard and kai havertz.
 
kama tungekuwa na Bruno fernandes ingekuwa balaa sana hii timu, Odegaard anataka kufanya touches nyingi while he is not that dangerous, tho he is a good player, haina maana ya kufanya touches nyingi infront of a goal when you're not Dimitri payet or lionel Messi.
 
I AM and Always will be ARTETA-IN, ukimuondoa Mikel niletee RDZ ndio nitakusamehe.
 

Kama umeamini ni sawa! Hiyo ni imani ya mtu
Je tayari kenge mmeshachukua kombe?
 
liver katoa suluhu akiwa pungufu tena chances created kibao nyie suluhu na everton πŸ˜‚πŸ˜‚ wote mpo ndani
Katoa suluhu akiwa pungufu dhidi ya nani?

Arsenal akiwa pungufu katoa suluhu dhidi ya nani?

How do you manage to be this stupid?
 
Anayejua website ya kustream ambayo haigandi gandi aitaje wazee

Zote ninazojua zinastuck.

Najua livesports, yacine na orstreams
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…