Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Huna haja ya kujichekesha, vision ya arsenal na ya timu yako ni vitu viwili tofauti. Utajichekesha ila huo ndiyo ukweli.
Vision ipi, hio ya kudanganyana kua mashabiki wa timu zingine wanaamini hamstahili kupata suluhu kwakua mna standards za juu halafu tayari mna draw 6 au?
Acha kudanganya watu humu, Arsenyau tokea iumbwe haijawahi kua na vision yoyote, hii timu laiti kweli ingekua na vision basi walau ingekua hata na kakombe kamoja ka Europa, ni bora uzungumzie Nottingham Forest na Aston Villa kua wana vision utaonekana unajielewa lakini sio nyie Arsenyau.
 
Acha kujichekesha mzee huna timu ya kunifanya nijibu chochote unachoandika kuhusu mpira
 
Baada ya kutumia 1.2 Billion pounds za usajili na timu ipo conference league shabiki wake anakuja kutishia watu
Suala la sisi kutumia hela Ni Jambo la kawaida Ni lazima tutumie na kutumia kwetu hela imeanza kutulipa kipitia hivyo tumetengeneza kikosi kipana na chenye Quality imagine tunajeuri ya kuwa na vikosi vitatu moja cha ligi, conference na cha FA na hii imetusaidia tunavyozidi kwenda ndio tunazidi kushinda game na wapinzani wetu mnapororomoka sababu ya hili suala
 
Actually upo sahihi kwenye upana wa kikosi.

Ila mnatakiwa kuuza home grown players kabla ya msimu ujao ili yasiwakumbe makesi ya city. So kama mnahitaji trophies ni msimu huu kuanzia ujao mna kazi ya kukipunguza
 
Actually upo sahihi kwenye upana wa kikosi.

Ila mnatakiwa kuuza home grown players kabla ya msimu ujao ili yasiwakumbe makesi ya city. So kama mnahitaji trophies ni msimu huu kuanzia ujao mna kazi ya kukipunguza
Mkuu tuna Tajiri miluzi kumbuka jamaa sio tu Ana hela nyingi lakini pia Ana akili nyingi sana kucheza na mifumo ya Financial fair play ndio maana pamoja na pesa nyingi tulizotumia hatujawahi kukutwa na hilo rungu in short Kuna wachezaji wameshawekwa kwenye list ya kuuzwa uarabuni na sehemu nyingine ambao hawana faida na team
 
Itakua hujanikamata sawasawa.

Kwa ninavyoelewa rungu linaanza wafuata msimu ujao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…