Tuliwaambia Arteta sio kocha wakuwapa mataji mlikuwa wabishiSababu za Partey kuwa nje sizioni. Sikumbuki mara ya mwisho Arsenal kucheza vizuri akikosekana Partey katikati.. Au ndio tunaanza kuaminishwa taratibu muda wa Partey kuwepo Arsenal upo ukingoni
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wazee tuongezeni angalau pesa kidogo kwa Jorginho mashine ya kazi. Acheni ubahili basi
Tuliwaambieni Kwanza Arteta sio kocha wa makombe mkawa wabishi, pili tuliwaambieni hamuwezi kuchukua ubingwa kwa kuwategemea average players Kama Kai,jorginho,martinelli,Sterling n.k tatu tukawaambia sisi tutachukua ubingwa kabla yenu sisi akitoka Nico Jackson anaingia Nkuku, akitoka Palmer anaingia Joao felix, akitoka Neto anaingia Madueke, akitoka Sancho anaingia Mudryk umeona utofauti wetu na nyie alafu katikati tuna viungo wa dunia wenye sifa zinazotofautiana Enzo mzee wa pass, Caicedo destroyer, Romeo Lavia controllerArteta will even sacrifice his skipper but not Kai.
HahahahahahKama ni Striker mmeshapata. Tunaye mashine ya magoli. Kuweni wavumilivu dirisha la usajili lifunguliwe. Hatujawahi shindwana kwenye biashara
View attachment 3176762
Arsenal kitu wanaweza chukua au kushinda msimu huu ni kuiombea Chelsea afungwe.Ila AseNYETO mnatia huruma sana, yaani misimu mitatu mfululizo mmekuwa na kiwango kizuri na mmeshindwa kuchukua ubingwa kweli.!
Wazee wa Fezi threee, fezi four sasa wapo fezi faivuuuHuwezi kuwa na matumaini na ubingwa halafu unatoa goalless draw na Everton.
Anzeni kufikira fezi 6 maana fezi 5 imeisha tayari.
Hawajifunzi kwa madrid hawaUkiona sisi tunakupa mchezaji tafakari mara mbili mbili
But then again unachojisikia sasa hivi hizo ni standards. 4 seasons back ukipata suluhu unaona sawa na mashabiki wa timu zingine wanaona sawa.
Two seasons back mpaka sasa suluhu unaona siyo hadhi yako na mashabiki wa timu zingine wanaamini hamstahili kupata suluhu kwakua mna standards za juu.
Kesho city au nyumbu yeyote anaweza kufungwa na hakuna atakayeshangaa. Mechi ikiwa suluhu wote watajipongeza.
Those are standards
Huna haja ya kujichekesha, vision ya arsenal na ya timu yako ni vitu viwili tofauti. Utajichekesha ila huo ndiyo ukweli.Yaani mpaka hivi sasa mna draws 6 halafu mnaendelea kudanganyana kua eti mashabiki wa timu zingine wanaamini hamstahili kupata suluhu kwakua mna standards za juu?
Kamdomo kenu ndiko kanakosababisha kila mtu afurahi mnapo poteza points3, acheni kudanganyana humu na kupeana false hope kua eti mko na standards za juu wakati kila msimu nyie mnaishia kua wapenzi wasindikizaji.
Standards zinaendana na wingi wa makombe kabatini, nyie mna standards za kamdomo tu peke yake
#Kamdomo FcView attachment 3176925