Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wewe ni nani?
Wewe ni nani?
Mimi ni mbaya wenu wa siku zote ,Kimbukiko ,mkali wa kuwasagia kunguni
Ukaona ushauri wangu wa kilofa sio au , yaani kwa aliyefata ushauri wangu kwamba leo mnakula kipondo au draw basi angebet na kula pesa nzuri tu

Ninyi inabidi muaze kujadili kucheza Biko na tatumzuka ,achaneni na hii takataka ya kuitwa Arsenal ,itawaletea magonjwa ya moyo na kisukari ,
 
Now the real question is "Did we keep our standards higher but remained with the same quality of players over the years?"
 
Katika kitu kilitugharimu ubingwa mara kadhaa nyakati za Wenger na hata sasa kinaendelea kutugharimu ni kusajili timu iliyokamilika Kila eneo.

Miaka 10 ya mwisho ya Wenger alikuwa na good striking force nikimaanisha magoli yalikuwa yanafungwa,ila sasa alikuwa na worst defence.ilikuwa kawaida kuongoza mbili au tatu bila na mkasawazishiwa.

Kwa arteta kasolve case ya defense ila hana convincing striking force.
Left wing ni toothless
Centre forward ni toothless na hapa pameoza
Right wing pekee ndo ya kuitegemea.

Huwez shinda kitu Cha maana kwa kuitegemea form ya wing Mmoja.

Kama ndo nafanya maamuzi basi ningefanya hivi.
Uza Jesus,uza Kai,rudisha sterling kwao.
Martinell awe sub for 6 match consecutively.
Tafuta traditional number 9 na left wing wa maana.

Tafuta left or right CM ambaye ni long short merchant na Mmoja kati ya hawa awe ni kiungo awe ni baller na driver with skills to unlock deadly 🔓.

Tusipoangalia kinachomkuta city kitatukuta pia.
 
Now the real question is "Did we keep our standards higher but remained with the same quality of players over the years?"
Of course.we developed faith over our team but forgot to develop quality of our players.
Ukitoa backline,Saka,Rice the rest ni wakawaida.
 
Yani kila siku ni mwendo wa kupoteza point mpaka akili ziwakae sawa,,,, kuna mdau kasema hapo eti mko na standard kwa hio sie wapinzani tunaona hamustahili draw, ,,tunafurahia mkidondosha alama,,,, mnacheza kama mnapiga nyeto !
 
Yani kila siku ni mwendo wa kupoteza point mpaka akili ziwakae sawa,,,, kuna mdau kasema hapo eti mko na standard kwa hio sie wapinzani tunaona hamustahili draw, ,,tunafurahia mkidondosha alama,,,, mnacheza kama mnapiga nyeto !
Ligi wanaanza January Hawa. Soma maandiko Yao juu 😀😀😀
 
Ila AseNYETO mnatia huruma sana, yaani misimu mitatu mfululizo mmekuwa na kiwango kizuri na mmeshindwa kuchukua ubingwa kweli.!
 
msimu ambao Everton ipo hovyo tangu uwajue na mmeshindwa kuwafunga.
Halafu misukule inadanganyana humu msimu huu mnabeba Epl na Uefa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…