Wat a shambolish defensing frm Bluz...
Malouda atapunguza kasi yetu, bad sub!
All the best Arsenal..... i hope today we take another point and continue finding the title
Dah! Hawa Tanesco wamenikatili sana, nimekosa mechi kali sana.Tukipata goli la nne itakuwapoa sana, naona wanaongeza washambuliaji sasa.
Leo babu Drogba hayupo.