Nyumbu sidhani kama Leo wataamka
Walidhani Arsenal ni Aston Villa😄
Nyumbu nitakufunga mara 20 mfululizo bila hata kupata sare
Hii mara ya 4 naanza kuhuesabu mdogo mdogo
Nasema hivi
Tukutane FA huko nitakufunga na kikosi B
Nyumbu sidhani kama Leo wataamka
Walidhani Arsenal ni Aston Villa
Nyumbu nitakufunga mara 20 mfululizo bila hata kupata sare
Hii mara ya 4 naanza kuhuesabu mdogo mdogo
Nasema hivi
Tukutane FA huko nitakufunga na kikosi B
Kuliko kuisema Man U kuna mambo mengi ya kimaendeleo tunaweza kuyafanya, mfano tu wengi wenu humu hamjui kutengeneza juisi ya Ukwaju, kwanini msitumie muda huu kupata huo ujuzi?
Glasi moja ni jero, haya ukiuza ndoo nzima utashindwa kujenga?