Nilisikia shabiki moja la nyumbu likisema Amorim is already a better coach than Arteta. Kwa sasa naona kama tarehe 4 ni mbali maana nna shauku ya kuliona hilo.View attachment 3160795
Yanajisifu halafu magoli yenyewe yote ni ya kona, ni vile tu hua hamsomi bible kwenye Agano la kale magoli ya kona yote ni haramu.
Inabidi viongozi wa dini walikemee sana hili.