Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Fimbo utakazochezea j5 kama sio miguu ya stuli basi mkono
Nyumbu fans hamjaumbiwa furaha

#TUNAKUJA
 
Hivi Hamis 7 masingeli yule tapeli wa mkuranga aliishia wapi ?
Au alibadili ID kabisa ?
Maana si kawaida kuwa kimya muda wote hivi
 
A season back Spurs akimfunga City tunatwaa ubingwa.

Spurs anapigwa.

Leo, suluhu inapunguza gap la point mpaka 6.

City anapigwa.

Biblia inasema ujisaidie kabla Yeye hajatoa msaada. Ifike mahali tujitegemee sisi kama sisi tusiathiriwe na mechi za wengine.

Been saying this for ages.
 
Ikifika tarehe 4

Arsenal atacheza na united
Chelsea na Southampton
City na Nottingham

Tarehe 5
Brighton na Fulham

Arsenal, chelsea, city, Brighton na Nottingham zote zinaweza kwenda nafasi ya pili.

On paper katika wote hao ambaye anatakiwa kusubiria upinzani mkali ni Arsenal na city ikiwa ataendelea na confidence aliyonayo sasa.

So Arsenal tunaenda hapo huku Partey majeruhi, Merino majeruhi, Calafiori majeruhi, White majeruhi, Magalhaes hati hati.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 sijajua arsenal lini atachukuabubingw. Kuna siku niliwahi kusema kuwa Chelsea atarudi kwenye form na kuchukua ubingwa kabla ya arsenal ambayo kila msimu yilupo on fire.....Title contender.....every year
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Arsenyo ni kama mkia wa mbuzi, umeumbiwa kusimama juu sio kuficha uchi.
Miaka yote wataendelea kua wapenzi wasindikizaji tu, wenyewe wameridhika na makombe ya Emirates[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumbe na msimu huu wameshachukua na kombe na hawasemi[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mambo ya Tetaball hayo, unaambiwa Tetea ndio kocha mwenye makombe mengi kuliko kocha yoyote aliewahi kufundisha Arsenyo, wakikufungulia kabati lao kuna kombe moja la FA na makombe 6 ya Emirates, Tetea apewe mkataba wa kudumu Arsenyo, Epl yote hakuna wa kumzidi kimbinu.
Masingeli anakwambia Tetea ndio mkufunzi mkuu wa makocha wote hapo barani ulaya.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…