Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,844
- 16,298
Erik kichwa ngumu alitufunga game yake ya kwanza nyumbu wakaamini sasa wamepata kocha.
Wakaanza kumfananisha na Artetasame mistake they made walipomfananisha Ole na Arteta. Viazi vingine vilimfananisha Lampard na Arteta, Potter na Arteta, De Zerbi na Arteta, Ange na Arteta.
What followed ni hao wote kufukuzwa isipokua huyu Ange ila wameshaacha kumfananisha na Arteta. Kenge wamejifunza Enzo anawapa matokeo ila hakuna aliyemfananisha na Arteta, labda kwakua hata Enzo mwenyewe anakubali kwamba kwa sasa wapo nyuma kiubora kulinganisha na Arsenal.
Ile game aliyoshinda Erik Kichwa Ngumu nadhani ndiyo ilisababisha Lokonga atafutiwe mkopo. Wakati tunamnunua Vincent Kompany alisema tunampata Vieira na Fabregas ndani ya mtu mmoja.
Pengine amekosa sana game time ila hajafikia matarajio
Hao makocha uliowataja karibia wote wana mafanikio sawa na wengine ni makubwa kuliko Arteta, tena wao wamepata mafanikio kwa muda mfupi zaidi, lakini kwa kua wanafundisha timu zenye malengo makubwa kuliko Arsenyau wameona viatu vyao havitoshelei wamewatimua, nyinyi huyo Tetea huu msimu wake wa 6 hana kombe lolote la maana zaidi ya kakombe kamoja ka mwanaFA halafu kila siku humu ni ngonjera tu za kumsifu Tetea, kwa akili hizo mlizonazo sipati picha Tetea angekua na mafanikio makubwa kama Guardiola sijui hali ingekuaje humu.