Fabinho alitokea Monaco nadhani. Alikuwa lile group la akina Mpappe, Bakayoko, Lemar...Liverpool haijawahi kusajili mchezaji kutokea Real Madrid anayeitwa FABINHO labda iwe kuna Real Madrid ya Ufaransa
Gyokeres anatisha kaka,
Kapambana na best defence duo in the world
Katika pambano lake amaambulia dribbles , mashuti kadhaa na mwamba aligongesha .
Gyokeres ni noma
Hebu fikiria
Hata mie simkubali kabisa.Hamna mtu humo
Wa kawaida sana.Viktor Gyokeres remember the name
Katafute wa kufanya naye mipasho.Liverpool haijawahi kusajili mchezaji kutokea Real Madrid anayeitwa FABINHO labda iwe kuna Real Madrid ya Ufaransa
Advantage tuliyo nayo Kudus yupo suspended, kwa hiyo hacheziOdegaard full 90 minutes kacheza games 2 tangu atoke majeruhi.
Hizo zote timu imescore kuanzia magoli 3. Kwa sasa hivi tupo nafasi ya 5 na kinachotuweka hapo ni tofauti ya magoli ya kufunga na kufungwa.
Kocha wa Westham ni kama ana matatizo hajajua starting 11 na hajajua formation inayompa ushindi. Hapo hapo amekua na tabia ya kutochezesha best players nafasi zao.
Let us hope huo uchizi atakuja nao leo tena.
Wamemchenjia washampiga bakora 3Leicester chini ya Ruud anaongoza moja
Yupo Nwaneribila partey asenal anapakatwaa