[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hiyo game acha liva afe
Ila spurs ni timu inayoongoza kuwapa shida city na kuwasulubu sana ,wana rekodi nzuri mno dhidi ya city hii ya GuardiolaSpurs na homa za vipindi π π π
Wameamkia kwa c115y
Ndio hua anampa shida kaka, lakini sasa ndo 4 ?πIla spurs ni timu inayoongoza kuwapa shida city na kuwasulubu sana ,wana rekodi nzuri mno dhidi ya city hii ya Guardiola
Ngoja tuone 2nd half itakuwaje.Soton wataweza kweli kushikilia bomba?
KaongezaNgoja tuone 2nd half itakuwaje.
Wemezingua sana, Arsenyo alishawahi kuongoza ligi kwa points 8 lakini mwisho wa msimu City akabeba kombe.Soton wamecheza back passes na sideway passes mpaka mashabiki wanawapigia kelele waende mbele
Mkikomaa kombe mnachukua hiliWemezingua sana, Arsenyo alishawahi kuongoza ligi kwa points 8 lakini mwisho wa msimu City akabeba kombe.
Ngoja tuone kama Liverpool nao watakaua wapuuzi kama Arsenyau.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sio msimu huu, ila ukweli mchungu ni Liverpool, Chelsea na Man Utd watabeba Epl kabla ya Arsenyau.Mkikomaa kombe mnachukua hili
Daah mijitu mingine bana..., toka asbh umetoa mishipa kwenye nyuzi za timu bora, umesahau kumbe chama lako bovu zaidi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sio msimu huu, ila ukweli mchungu ni Liverpool, Chelsea na Man Utd watabeba Epl kabla ya Arsenyau.
π π π π
Yap.π π π π
ukiachana na ukosefu wa vibe tusiposhinda, SABABU KUU ya mimi kupunguza mahudhurio humu ni mazingira niliyopo sasa. Network ni ya shida sana.
ila kama castr alivyokujibu...sisi tupo tu na timu yetu ya mabingwa katika hali zote
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] punguza kujifariji mkuu, kocha la ball Harmorapa ameshasema ligi anaanza rasmi wiki ijayo atapokutana na Arsenyo.Daah mijitu mingine bana..., toka asbh umetoa mishipa kwenye nyuzi za timu bora, umesahau kumbe chama lako bovu zaidi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] punguza kujifariji mkuu, kocha la ball Harmorapa ameshasema ligi anaanza rasmi wiki ijayo atapokutana na Arsenyo.
Yaani baada ya hio kauli yake ghafla tu nimejikuta naanza kuwahurumia mashabiki wa Arsenyau[emoji16][emoji16][emoji16]