Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sidhani.
 
Kumbukizi ya Nukuu za Masingeli Chambuzi nguli la soka lenye leseni ya Fifa daraja A toka Zurich Uswiswi.

"Mpira wa janja janja huwezi kukimbizana na UBINGWA

Watu wanapiga 7 WIN Wana draw wanaanza Tena WIN zinapigwa hata 8"


#Arsenyo Ndoo
#Haaland kiatu


 
Ushindi usipopatikana kwenye game, hata mzuka wa kuja huku kutamba na kufanya analysis unapungua.
Mikel afanye mpango tukirudi tutembeze vichapo ili jukwaa letu limeremete.
 
Ushindi usipopatikana kwenye game, hata mzuka wa kuja huku kutamba na kufanya analysis unapungua.
Mikel afanye mpango tukirudi tutembeze vichapo ili jukwaa letu limeremete.
Eti mtembeze vichapo wakati mechi inayofata mnakutana na mabingwa wa Uefa Nottingham Forest.
Masingeli sio mjinga, alishachanga karata zake mapema akajua kabisa misimu huu hata top4 hamtoboi, akaamua kula kona mapemaaa.
Hii ni team ya wapenzi wasindikizaji, Liverpool, Chelsea, Man Utd na Aston Villa watabeba Epl kabla ya Arsenyau.
 
wewe ngoja turudi.
Halafu nyie nyumbu hamkutufanyia poa kabisa kumfukuza Ten Hag na kumleta Amorim kabla hatujacheza na nyie wakati mnajua kabisa ligi hii ngumu kinoma.
Isiwe taabu lakini. Huyo huyo Amorim kichapo kitamhusu.
 
Arteta atakufa na kai wake kuna game unaona kabisa anahitajika jesus ile yeye na kai, kai na yeye.
 
Kai nilimkataa mapema saana, viwango vya kina martinelli ni mashaka, najiuliza saka ukimpeleka pale westham ama Everton atakuwa saka huyu, timu inahitaji kuboreshwa, inahitaji wachezaji wa daraja la juu, wachezaji na kocha wenye njaa na makombe.

Msimu ule liver wako hoi, man city tumemuacha gape kubwa la pointi nikasema tukikosa kombe msimu huu tusitarajie ndani ya misimu ijayo tutalipata kirahisi, alikuwa sijui ni will yule ama nani, alinipinga na kunitoa akili, lakini kile nilichokiona ndio tunakipitia...
 
Kombe tunalichukua msimu huu .., laminate this comment
 
Isidingo Fc, kwani sasa hivi tuko episode ya ngapi ndugu zangu?
Timueni tetea huyo halafu mtakuja kunishukuru baadae, yaani mnafuga tetea miaka yote 6 hata haitagi halafu nyinyi wala hamshtuki, hivi vichwa vyenu viko sawa kweli ndugu zangu?
Isije kua nahangaika hapa kuwapa ushauri na technical mbalimbali kumbe circuit zilishapiga shot kitambo.

 
Librarian katika ubora wako

Hopo bado hujawaweka kina Benacer, Sagna, Clichy, Martinez, Vela, Vieira, Sanchez....
Hivi mna habari yoyote ya dogo Chido Obi-Martin kweli?
Dogo tokea atue Utd ni anakiwasha kwelikweli.
Huyu dogo ndani ya misimu miwili ijayo tunamuhamishia timu ya wakubwa ili tupate kuwacheka vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…