Kupata akili nyingine za kijinga kama hiZi bonyeza neno 'INTER MILAN'Ubunifu bado tutakosa ila tujitahidi kushinda, tena kwa kucheza boli zuri. Tujitahidi kuimarika mechi kwa mechi na hatimae tutakaa sawa kama tulivyokuwa awali.
Best comment ever.Arsenal baada ya kuwa bora misimu miwili iliyopita na kutoshinda kombe lolote la maana, taratibu timu yao inarudi ilikotoka.
Hizi ndio akili za watu wa asenane.πππ€£π€£πππ π πππππππππWe need a little patience with ARTETA..., Soon we will be winning trophies πͺπͺ
Daaah huyo jamaa aliona sie tunafaidiMwamba Kigi alikua anataka kutuaminisha kua mashabiki wote wa Arsenyau wanamfurahia Tetea na wana imani nae, kupitia Teta ball wanaenda kudominate league kwa miaka 10+ consecutively, akataka kutuaminisha mashabiki wa timu nyingine ndio tuna gubu na wivu kwa kocha la ball, bila hiyana imebidi nimtolee risiti za efd za mashabiki lialia wa Arsenyo waliochoshwa na mambo ya pressing na Overlap mara sijui overload, positional play, minyumbuliko, mikimbio mizuri, dark art pamoja na haramu football halafu wanaishia kumaliza msimu mikono mitupu, misimu yote wao wanabaki kua wapenzi wasindikizaji, halafu wanashangaa Nyumbu wanabutua butua tu lakini mwisho wa msimu wanamaliza kwa furaha ya kunyanyua kwapa mpaka na wao wanatamani wawe kama nyumbuView attachment 3145098
Jamaa yupo since December 2019. Thats almost 5 years!!!!!! Ndio, miaka mitano.We need a little patience with ARTETA..., Soon we will be winning trophies
Haya ni matokeo ya summer transfer mbovu.Muda huu ndo tunahusishwa na Gyokeres na Sane.Kwa makadirio ya Β£200Β±mil, we are favorite kwenye UCL na EPL 2024/2024
View attachment 3031822
i/ VICTOR OSIMNHEM
~ Β£ 80 mil. Kocha mpya wa Napoli, Conte, few weeks ametaja wachezaji wake muhimu Kwa 24/25 na Osimnhem si mmoja wao. Na ukitoa release clause yake ( Β£ 120m, ana makubaliano na Napoli, timu ikifika Β£80m plus, auzwe
View attachment 3031824
ii/ NIKO WILLIAMS
Hapa ndo kitonga kabisa, jamaa ana release clause ya Β£49m. Lipa beba mchezaji.
View attachment 3031825
III/ JOSHUA KIMMICH
Amebakiza mwaka mmoja na wajerumani. Amekataa kusaini mkataba mpya. Option rahisi na ya kibiashara kwa Bayern, ni kumuuza. Umri and everything (29y) Bayern hawakatai Β£35m
View attachment 3031828
iv/ RICARDO CALAFIORI
Kitasa haswaaa cha kiitalia.Only 22y LCB, LB. Doing AKE/GVARDIOL energy na TIMBER/MAGALHAES. Ukiweka Β£45m mezani, unabeba pia.
Β£(80+49+35+45)m inakuja kama Β£210m hapo. The second thing, wage ya wachezaji. Can't be issue kama tunataka kweli mafanikio