Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Chelsea atashinda EPL kabla ya hiki kikundi chenu cha wapika Gongo.

Huna timu ya kuchukua EPL huna NEVER sahau.
Haya maneno ni ya kweli kabisa πŸ˜‚ nayaamini 100%.
Chelsea atachukua EPL kabla ya arsenal, neno "kabla ya arsenal " nimelitumia vibaya maana arsenal hawezi beba EPL.
Kombe zito lile sioni mchezaji yeyote wa false hopers kulinyanyua.
 
Mkohoti mimi na wewe msimu huu ni malofa tu tukapambanie Mickey mouse cups
 
Kocha mwaka wa sita, mafanikio ni kuingia UCL

Huu msimu hata top four hampo

Wajalana
Tatizo sio kocha tatizo ni Arsenal kwa ujumlaπŸ˜‚πŸ˜‚. Labda mbadilishe jina maana kila timu inajua arsenal ni false hopers .
Xhaka kaenda Leverkusen kabeba kombe , kila anaeondoka arsenal lazima akifika sehemu nyingine abebe kombe kina xhaka, fabregas, nasri ,giroud,clichy , flamini, helb, chamberlain na wengine wengi.

xhaka kacheza arsenal misimu 7 bila kombe kaenda leverkusen first season tayari ana kombe.
Fabregas misimu 8 bila kombe akaenda spain karudi EPL kashinda 2 πŸ† epl with chelsea akaenda monaco kacheza kastaafu saivi ni kocha ila arsenal bado hana EPL πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Chamberlain kashinda both EPL and Champions league with Liverpool.
Unadhani hata wao wanaiona vipi arsenal si kama kituko tu mbele ya macho yao.
 
Kuna jamaa yangu aliniambia alianza kushabikia EPL 2003/2004 baada ya Arsenal kuchukukua ubingwa.

Leo anajiuliza kweli alifanya maamuzi sahihi 2004 kuanza kushabikia arsenal kisa ilibeba ubingwa? Jamaa yupo njia panda hajui afanyaje.
 
Kwa kweli tuko hoi.
Kocha mbwa sana yule na wachezaji wamelegea kama wa..nge.
 
Current top 4
1.Liverpool
2.Man city
3.Nott.Forest
4.Arsenal
Unaambiwa hii top 4 ya sasa Arsenal pekee hana UEFA, yaani arsenal kila category yeye ni victim tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Tuwawekee wapi nyinyi watu ili mtambe maana kila sehemu mnakua vibonde
 
Nyie magoigoi, nawakaribisha kufatilia mechi ya kiume kati ya Chelsea na nyumbu, nawahakikishia tunakwenda kuinyanyua London mana London is blue πŸ”΅πŸ”΅πŸ”΅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…