Kuna muda mimi kama shabiki wa Man Utd nalia sana kuhusu timu yangu, ila nikiwaangalia ndugu zangu Arsenyau nabaki nacheka tu.
Masterclass tumpe miaka 7 tena huenda Covid ikarudi akatupea kombe lingine la FA.
Humu maneno yamepungua sababu City kafungwa, wangeshinda mngeona kila aina ya takataka inaletwa, mpira wa JF mihemko inatangulizwa mbele, No rationale behind, Some Men here behave like Gays. They chase attention like women.