Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,103
- 6,698
.Kesho kina Labyrinth wana alama zetu 3.
Mpaka leo huwa nashangaa sana mtu anaamuaje kuhamia Newcastle eti kisa wameingia top 4 msimu mmoja kwa kubebwa bebwa

SawaKesho kina Labyrinth wana alama zetu 3.
Mpaka leo huwa nashangaa sana mtu anaamuaje kuhamia Newcastle eti kisa wameingia top 4 msimu mmoja kwa kubebwa bebwa
Mstari mwembamba sana una mtofautisha ten hag na arteta
Tena amuombe radhi baba wa watu kanyanyua kwapa mara 2. Na kusema ukweli Ten hag alianza kufelishwa na majeruhi msimu wake wa kwanza na wa pili. Ilianza beki Luke Shaw, Malacia, Casemilo ambaye ndiye alikuwa kiungo tegemeo hapo ndipo akapoteza formation akaanza kucheza papatu papatu mradi ashinde chochote. Mimi ni Arsenal dama tesema ukweli daima fitna kwangu mwiko, Arteta must go.Acha kumfanisha Ten Hag na vitu vya kijinga kijinga, ukiwa na 10hag haumalizi ligi mikono mitupu, unakua na uhakika kila msimu unabeba kombe.
yani wewe ndio umeona nilichokuwa nakiona mm yani kaanzisha offensive player karibu wote mbele hakuna midfielder waku balance timu ndio maana wakazidiwa nyuma na mbele napo wamezidiwa kupata hata shot on targetarteta nyumba aliyoanza kuijenga ilibakia finishing lkn anaibomoa tena mwenyewe kwa mikono yake.
merino bado hatakiwi kuingia kwenye XI kwa haraka namna hii ;partey ama jorginho ndio wanatakiwa ku partner na rice kwenye mid kwa ssa.