Well, well... Kwanza naomba ufahamu mimi ni shabiki mkubwa wa Wenger, yeye na Henry ndio walinifanya niishabikie Arsenal.
Back to the point, umesahau misimu ya mwisho kwa Wenger hata klabu bingwa tulishaisahau? Huyu katurudisha sio tu klabu bingwa, bali kwenye mbio za ubingwa kwa misimu miwili mfululizo tukishindwa kwa points kiduchu.
Hii ndiyo timu inayonipa confidence dhidi ya mpinzani yoyote, Partey at #6, Rice & Martin odegaard, 4CBs white, Saliba, Gabriel & Timber, 3 Attackers- Saka, Martinelli & havertz, that's my dream team