Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kepa ni master ,utamlinganisha na huyu pimbi wenu ?
 
Huyu dogo Kluivert baba yake ni yule jamaa alichezea Barcelona miaka hiyo?
 
Reactions: K11
Arsenal inabidi tujitafakari asee.
Eti tukipata red card tu game play inabadilika wakati huwa tunazipata mara kibao.
Hata UEFA final na Barca tulikua fresh ila Van Persie alipokula red card et tukaachia ubingwa.
Kocha ajifunze kucheza na watu kumi asee.
 
Braza hii andika yako kama ungekuwa unaongea mishipa ingekuwa imesimama barabara [emoji23]
 
Tunawauziaga vibovu sterling ni mchezaji ambaye hana constituency
 
Hivi mpo serious mnataka ubingwa na haya magarasa
Rice
Trossad
Haveertz
Sterling
Odegaard
Raya
Saliba
Kiwiko
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…