Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Man United hawana maajabu
 
Wametuumiza leo, lakini ndio game asiyekubli kushindwa si mshindani. Duhh, walituzidi kila sehemu, mie naamini uchawi kwenye mpira upo na manchester,mnhhhhh, wakali wa nguvu za kiza.
Tumebondwa na nyumbu maskini
 
Ni kweli saka hana mbadala
 
Arsenal ya Mademu walikua wanacheza jana na Bayern Munich
Bayern Munich ni mfupa ulioshindikana kuvunjwa na Arsenyo, sio timu ya wanaume, wanawake, wazee, watoto, walemavu, single mother mpaka timu ya wajane wa Arsenyo wakipapaswa kidogo tu na hao wajerumani wanajikuta tayari wapo kwenye shaking orgasm mode.
 
Hatuna forward, tunachezesha kiraka tu kwa sasa.

Jesus akiwa kwenye form nzuri ni mkali kuliko Kai.
 
Hatuna forward, tunachezesha kiraka tu kwa sasa.

Jesus akiwa kwenye form nzuri ni mkali kuliko Kai.
Namkubali Jesus, lakini kwa arteta inaonekana chaguo lake la kwanza ni kai, anampenda kai, kile kipindi kigumu alichokuwa anapitia kai, vile alikuwa anambeba na kumuonesha imani kubwa juu yake, hajawahi kuonesha hivyo kwa jesus baada ya majeruhi yale ya kombe la dunia.
 
Hio form itakuja Matchday ya ngapi bosi au mpaka mbio za ubingwa zianze.
Tunataka matokeo sasa sio siku za mbeleni.
Karudi, ni mwendo wa benchi unadhani atajipata saa ngapi?
Pamoja na majeruhi ya jesus lakini arteta kaonesha kutokumuamini kama anavyomuamini kai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…