verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,172
- 6,309
Ndo ivo vtu nlikuwa sivielewi ila alicheza vzur tuLeo Partey ni beki wa kulia
Amuweke nje nani
Onana ana 50% clean sheet wakati Raya ana 42.7% kutokana na idadi ya michezo waliyokwishacheza.Kwani pazia letu Raya lina clean sheets ngapi na kipa wenu wa Dunia ana clean sheets ngapi?
Sitaki kusema maneno mengi sana ila leo tunaanza ligi rasmi.Duh ila nyumbu bwana π€£π€£
Haya sawa sisi siyo wazuri. Hatujui mpira, tunabahatisha tu, nyinyi mnajua sana mpira ila ni bahati mbaya tu inawafuata kwa miaka mitano sasa.
Ila leo unaonaje? Mnampiga Villa au maumivu yataendelea?
Sasa huoni ukisema tu kutokana na michezo waliyocheza inamaanisha hizo stats siyo sahihi kwa 100% kuwafananisha?Onana ana 50% clean sheet wakati Raya ana 42.7% kutokana na idadi ya michezo waliyokwishacheza.
N:B Kwa Southampton Onana na wabovu wenzake akina Maguire wametengeneza clean sheet wakati ukuta wa Berlin ukiongozwa na Saliba, Gaby na Raya umeruhusu goli dhidi ya wale wachovu.
Nafikiri Villa kafungwa na Arsenal hadi sasa sijui kama kuna mwingine kamshona. Mkikomaa mtakua wa piliSitaki kusema maneno mengi sana ila leo tunaanza ligi rasmi.
Hawatoboi hao kwa Unai.Duh ila nyumbu bwana π€£π€£
Haya sawa sisi siyo wazuri. Hatujui mpira, tunabahatisha tu, nyinyi mnajua sana mpira ila ni bahati mbaya tu inawafuata kwa miaka mitano sasa.
Ila leo unaonaje? Mnampiga Villa au maumivu yataendelea?
Na timu ya pili kumfunga Villa itakuwa Unitedπ€ π€ ...Nina hii hisia leo tangu asubuhiNafikiri Villa kafungwa na Arsenal hadi sasa sijui kama kuna mwingine kamshona. Mkikomaa mtakua wa pili
NB. Nimeconfirm. Mpaka sasa Villa kafungwa na Arsenal tu
Kwavile mpira unadunda mi sibishiNa timu ya pili kumfunga Villa itakuwa Unitedπ€ π€ ...Nina hii hisia leo tangu asubuhi
Form is temporary, but class is permanent. Ni makosa makubwa sana Onana na sister Raya kukaa katika sentensi moja.Mwana anazingua kinoma...yani anamfananisha mwamba Raya na yule mcheza dansi wao ..... tena kwa idadi ya clean sheet
Wewe ni mwanaume? Unawezaje kufikiria na kumtaja mwanaume sister?Form is temporary, but class is permanent. Ni makosa makubwa sana Onana na sister Raya kukaa katika sentensi moja.
View attachment 3116739
Ukisema Onana unazungumzia nyanda la fainali ya UCL, sio Raya mvuta vumbi katika mabenchi ya EURO
Umeona Erik alivyokua kichekesho?Na timu ya pili kumfunga Villa itakuwa Unitedπ€ π€ ...Nina hii hisia leo tangu asubuhi
Naona mmemuanzisha Maguire π€£π π€£Sitaki kusema maneno mengi sana ila leo tunaanza ligi rasmi.
De ligt na magwaya...naenda na magwaya....magwaya mtu sanaπ€ π€ π€Naona mmemuanzisha Maguire π€£π π€£
Kenge linanyooshwaDe ligt na magwaya...naenda na magwaya....magwaya mtu sanaπ€ π€ π€