arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,328
- 4,315
Unahangaika sana shehe.....TAfuteni viungo wa kueleweka....baada ya International break kilichowatokea wenzenu PSG jana na nyny kipo njiani....mnaingia uwanjani mnaona hii ngoma tunashinda kabisa ila mwsho wa mpira nyny ndo mnatoka na manundu🤣🤣🤣🤣Timu haijawahi kubeba uefa 🤣🤣🤣
Kile kiligi chenu mnacheza lini mkuu....maana kule mnacheza na timu za ajabuqjabu kwli....sijui mnacheza na mafundi gereji kule....maana timu hazijulikani zinacheza ligi gani na zipo nafasi ya ngapikwamba wamepiga bomu mochwari😂
hela tunawaongezea kwa harvetz tuWazee kuweni na Shukrani tumewapa mashine za kazi Harvetz, Jognho na Sterling, tuongezeeni angalau pesa kidogo basi acheni ubahili.
Iyo siku Ramsdale atakua ni prime BuffonWanaofata kupata Dark Arts ni Southampton tarehe 5 mwezi huu.
Nimeona mechi ya mwisho tulitoka nao 3:3 .Iyo siku Ramsdale atakua ni prime Buffon
Ben White anasumbuliwa na groin issue tangu game ya kabla ya City.Castr ben white ana shida gan ata bench jana akuwepo na kuhusu timber jana alipata majeruhi au?
Hizo clean sheet zimewapa makombe mangapi
Uko active kule kwny jukwaa lenu kama huku shehe??...unatuandama sana aisee....PSG walikuja wamejiandaa kwlikwli...lakini wametoka hawaamini....na nyny mjipange aisee....hatutaki lawama tukikutana na Yale matobo yenu mnayoacha kule nyumaHizo clean sheet zimewapa makombe mangapi
😂😂😂😂Haohao mafundi gereji tunaenda kuongeza kwenye kabati kombe lingine la conference kwa mara ya kwanza na kuleta maqna hqlisi ya pride of london.... uefa sio ya wala nyeto km nyie huko kuna wenyewe...ngoja mbeleni mkutane na mabasha wenu bayernKile kiligi chenu mnacheza lini mkuu....maana kule mnacheza na timu za ajabuqjabu kwli....sijui mnacheza na mafundi gereji kule....maana timu hazijulikani zinacheza ligi gani na zipo nafasi ya ngapi
ok mkuu shukrani , maana yulr kiwior simuamini kabisaaaBen White anasumbuliwa na groin issue tangu game ya kabla ya City.
Timber alihisi misuli inamsumbua. Kutokana na injury yake ilitakiwa asicheze dakika nyingi ila Benchi limemuoverdose
Kila la heri mkuu🤠🤠🤠....mabasha zenu nyny nadhani unawajua....yaani Kila wakikuinamisha ni hmu tu🤠🤠🤠....jitahidini aisee mwaka huu walau mkaze kidogo....sio mkiombwa tu mnatoa nzimanzima😂😂😂😂Haohao mafundi gereji tunaenda kuongeza kwenye kabati kombe lingine la conference kwa mara ya kwanza na kuleta maqna hqlisi ya pride of london.... uefa sio ya wala nyeto km nyie huko kuna wenyewe...ngoja mbeleni mkutane na mabasha wenu bayern
Uwii...hebu hii mechi yetu na kenge ifike haraka!! Hizi ni dharau na kujisahaulisha kuwa hapo darajani ni uwanja wetu wa mazoeziKuna kimbunga kinaitwa cole palmer yeye peke yake anaweza akashusha dhahama hapo arsenyeto bila kuwasahau kina sancho , nkunku, neto ....unqtamba kuifunga chelsea kikosi chenyewe kilipangwa kikosi cha kindezi na tapeli poche ..😂
Ila mwana huwa unawaponza sana wenzie,Failures wa UCL wanacheza leo. Psg hana UEFA
Arsenali hana UEFA.
Full time Psg 5 Arsekenge 0
Saliba umeme
Achana na mtu, kuna lile somo ambalo ulikuwa unaona hili nikisoma kidogo nafaulu then unakesha kulisoma matokeo yakija chali.Ni kweli kaka, Arsenal anacheza siku hizi unaona kama huyu nikikaza namfunga ila ndo hivo tena unafungwa halafu unabaki kumiliki tu mpira.
Tulia wewe. Hivi Southampton unawajua vzr?Ila mwana huwa unawaponza sana wenzie,
Yani kila timu ukiiombeaga ishinde inakutana na upepo mchafu
Uzuri sisi tunajua umuhimu wa kila mechi kwetu. Hatuhitaji kupayuka hapa mtandaoni kukuaminisha kuwa tunajua tunachotaka.Tulia wewe. Hivi Southampton unawajua vzr?