John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,537
- 3,040
Kuna kimbunga kinaitwa cole palmer yeye peke yake anaweza akashusha dhahama hapo arsenyeto bila kuwasahau kina sancho , nkunku, neto ....unqtamba kuifunga chelsea kikosi chenyewe kilipangwa kikosi cha kindezi na tapeli poche ..😂Unadhani nani akianza hapo ukengeni anaweza akatikisa kidogo huu mbuyu aka gunners