verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,126
- 6,179
It's looking good bruv
Poch mashavu tu alikua anawatoa jasho, kipindi hichi hamtapata bahat ya kuzawadiwa goli.Tuliza mshono dogo.... asubuhiasubuhi ushaamkia huku jukwaani....Rudi kule kwenu mkajadiliane namna ya kupunguza hamsa nyingine tukikutana maana kipigo kipo palepale
Mbona kama mwana anaonekana mfupi sana...
Sio mfupi ila kakutana na watu warefu shehe🤠🤠🤠....yaani sasahivi pale Arsenal wafupi ni Timber...Saka... Sterling....trossard...Jesus... odegaard...ambao hao ukiwacheki Wana kimo cha kawaida ila wakisimama na kina kina merino wanaonekana ni viandunje.....Chelsea wajiandae kwakwli.....hiki kidomodomo cha kina Mkohoti...hakyanani siku hyo kitawaramba....lile kono la nyani washalisahauMbona kama mwana anaonekana mfupi sana...
Au ni photoshop
Hata msimu uliopita kulipowakanda vitanoSio mfupi ila kakutana na watu warefu shehe🤠🤠🤠....yaani sasahivi pale Arsenal wafupi ni Timber...Saka... Sterling....trossard...Jesus... odegaard...ambao hao ukiwacheki Wana kimo cha kawaida ila wakisimama na kina kina merino wanaonekana ni viandunje.....Chelsea wajiandae kwakwli.....hiki kidomodomo cha kina Mkohoti...hakyanani siku hyo kitawaramba....lile kono la nyani washalisahau
Afu kwa kazi anayofanya ngongoti Kai bishoo...kwakwli tutawaongezea af tatu majirani zetu kwa kutupatia ile mashineHata msimu uliopita kulipowakanda vitano
Kabla ya mechi walikuwa wanajiamini sana
Hawakuamini hadi harvetz anawapiga
Naona msimu huu wametushindwa wameanza kutoa milio mapema,Afu kwa kazi anayofanya ngongoti Kai bishoo...kwakwli tutawaongezea af tatu majirani zetu kwa kutupatia ile mashine
Bado hawajatoa mlio mbona....mwezi wa 2 huko ndo watahamia wte kwa kipara guardiola baada ya kuona mambo magumu....sasahivi wacha tuwaswage taratibuNaona msimu huu wametushindwa wameanza kutoa milio mapema,
Wanasema tunatumia dark arts
Unahisi wataanza kina disasi n badiashile sio?😂Sio mfupi ila kakutana na watu warefu shehe🤠🤠🤠....yaani sasahivi pale Arsenal wafupi ni Timber...Saka... Sterling....trossard...Jesus... odegaard...ambao hao ukiwacheki Wana kimo cha kawaida ila wakisimama na kina kina merino wanaonekana ni viandunje.....Chelsea wajiandae kwakwli.....hiki kidomodomo cha kina Mkohoti...hakyanani siku hyo kitawaramba....lile kono la nyani washalisahau
Fofana na Colwill....vyte vichochoro....Cucurella minywele ndo akili hamna kabisa....Enzo ile million 100 mlipigwa....wacha siku ifuke tuone huo mpira mtachezea wapi.....timu miaka 4+ tukikutana hampati matokeo ya kueleweka alafu mnakuja hmu kutuvimbia....kwa kipi hasaUnahisi wataanza kina disasi n badiashile sio?😂
Unadhani nani akianza hapo ukengeni anaweza akatikisa kidogo huu mbuyu aka gunnersUnahisi wataanza kina disasi n badiashile sio?😂