Azim Sokoine
JF-Expert Member
- Aug 20, 2014
- 1,485
- 2,752
Hata mimi nimeliona Hilo kudadeki.Namuona Nwaneri, akitaka kuchukua namba ya mtu
Wewe huna uwezo wakuifunga Chelsea hii ya magoal ushindi wako ni kusuluhu tena wa kupaki bus tofauti na hapo goal nyingi zinakuhusuWw mbona crystal palace alikutoa kamasi Nyumbani kwako🤠🤠🤠...unaongea nn ww bwana mdgo...uzuri mwezi wa 11 tutakutana...tutaona hiki kidomodomo chako utakiweka wapi
Hii Chelsea tunayoibutua miaka 4 sijui 5 mfululizo au🤣🤣🤣....au labda Chelsea gani..hii ya kina Jackson na Madueke sio🤠🤠🤠....uzuri tutakutana wte tumekamilika...nyny mpo kamili na sisi kamili halafu tuone nani atatoka anamtukana kocha wakeWewe huna uwezo wakuifunga Chelsea hii ya magoal ushindi wako ni kusuluhu tena wa kupaki bus tofauti na hapo goal nyingi zinakuhusu
Huyu akipata timu yenye defense nzuri ni bonge la kipa. Jana ikabidi niangalie stats zake, yaani kwa umri wake bado ana room ya kujifunza zaidiAmeandika mdau
"Mads Hermansen's 13 saves is the most in a Premier League match since December 2017. David de Gea against... you guessed it."
😃😃😃😃😃
View attachment 3109954View attachment 3109955
Kenge hua mna jeuri kabla siku ya mechi haijafika 😅😅Wewe huna uwezo wakuifunga Chelsea hii ya magoal ushindi wako ni kusuluhu tena wa kupaki bus tofauti na hapo goal nyingi zinakuhusu
Time will tellKenge hua mna jeuri kabla siku ya mechi haijafika 😅😅
Vp na brighton aliyekutoa kamasi nyumban kwenu mbona humuongeleiWw mbona crystal palace alikutoa kamasi Nyumbani kwako🤠🤠🤠...unaongea nn ww bwana mdgo...uzuri mwezi wa 11 tutakutana...tutaona hiki kidomodomo chako utakiweka wapi
🤣🤣🤣🤣Vp na brighton aliyekutoa kamasi nyumban kwenu mbona humuongelei
Sikubaliani sana na wewe, Wolves walikuwa na mfululizo wa mechi ngumu, lakini ni wazuriWolves wana form mbaya. Usiwaamini mpaka filimbi ya mwisho
We played against them with a man downVp na brighton aliyekutoa kamasi nyumban kwenu mbona humuongelei
Arteta inabidi amfuatilie, anaweza kutufaa kabla kenge hawajamchukua kuua kipaji chakeHuyu akipata timu yenye defense nzuri ni bonge la kipa. Jana ikabidi niangalie stats zake, yaani kwa umri wake bado ana room ya kujifunza zaidi
No yellow cardLeicester's player Kamzuia Martinneli kurusha ball chaap, ingekua kwetu kadi mapema sana ingetoka
Sikubaliani sana na wewe, Wolves walikuwa na mfululizo wa mechi ngumu, lakini ni wazuri
Dah 😅Arteta inabidi amfuatilie, anaweza kutufaa kabla kenge hawajamchukua kuua kipaji chake
Dhidi ya Villa.Sikubaliani sana na wewe, Wolves walikuwa na mfululizo wa mechi ngumu, lakini ni wazuri
Nitaongelea siku mtakayotufunga mkuu....timu mnakaa miaka 5 hata tuchezeshe kikosi cha 7 hamtufungi halafu mnakuja kupiga kelele hmu ndani🤠🤠🤠....mwaka huu mwezi wa 11 tutakutana pale kwenu halafu tuone huo mpira wenu mtachezea wapi.....yaani timu beki fofana na Disasi ndo mtusumbue kabisa akili kwli??Vp na brighton aliyekutoa kamasi nyumban kwenu mbona humuongelei
nyie c wazee wa haram na dark arts football ..si mnashinda ktk kila condition😂We played against them with a man down
Endelea kukalili😂😂😂...Nitaongelea siku mtakayotufunga mkuu....timu mnakaa miaka 5 hata tuchezeshe kikosi cha 7 hamtufungi halafu mnakuja kupiga kelele hmu ndani🤠🤠🤠....mwaka huu mwezi wa 11 tutakutana pale kwenu halafu tuone huo mpira wenu mtachezea wapi.....yaani timu beki fofana na Disasi ndo mtusumbue kabisa akili kwli??