Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sikuona tatizo la kalafiori at first place shida ni trossad alitakiwa kutrack space ilitoachwa na cala kumbuka Kala alienda kumark what if ule mpira ungetua mbele ya Kala kama ange mark mfungaji wa goli alitakiwa kumark watu wawili asingeweza kosa ni la Trossad kuchelewa kudrop ile space
 
Wamepambana kwa kweli. Watu 9 ndani ya box
Kai mikazo kaona leo hafungi akaamua amtungue David raya🤣🤣🤣...ila yule striker wangu najaribu sana kumtetea kwa wananchi maana hawamuelewi....kikubwa tumeshinda....tuendelee kushinda mpk midfield yetu irudi....then hapo tutakuwa sawa....hyu mzee Partey tyri jua lishazama sio yule tuliyemzoea....Merino akirudi anabeba namba yake kiwepesi sana
 
Kai mbona kafunga mkuu?
 
Ila mkuu ,mna hali mbaya ninyi matapeli , mna hali mbaya nawaambia ,kama Leicester kawatoa jasho hivi Mkikutana na chuma cha pua miamba Chelsea lazima mpigwe na vitu vizito vyenye ncha kali vichwani .
Ww mbona crystal palace alikutoa kamasi Nyumbani kwako🤠🤠🤠...unaongea nn ww bwana mdgo...uzuri mwezi wa 11 tutakutana...tutaona hiki kidomodomo chako utakiweka wapi
 
Kuna timu ilijifanya ipo nafasi ya 3,angali tunafahamu si nafasi yake.
Inabidi itoke haraka sana kumpisha mwenzake wa 4
Nafasi ya 4 ikaliwe na wahusika walioko nafasi ya 5.
Futboli ni mchezo unaoheshimika duniani,
Sio wa comedians
 
Ila mkuu ,mna hali mbaya ninyi matapeli , mna hali mbaya nawaambia ,kama Leicester kawatoa jasho hivi Mkikutana na chuma cha pua miamba Chelsea lazima mpigwe na vitu vizito vyenye ncha kali vichwani .
Chief unaizungumzia timu ambayo haina play maker.

Timu ambayo upande wa LW upo paralyzed.

Na bado haijafungwa kwenye tournament yoyote.

Ukiangalia benchi la Arsenal unaona gap la wazi.

Na hua nasema kuna timu mbili Arsenal tukikutana nazo hua siwazi. Nyumbu na kenge. Tumewafunga tukiwa wabovu zaidi na mkiwa na kikosi mlichodai dunia itakiogopa.

Timu yoyote inayoruhusu magoli ya hovyo sioni ni kivipi itakwepa kikombe
 
Hivi hizo dark arts tunazoambiwa tunatumia ni zipi waungwana
Breaking flow play ya wapinzani. Mfano wanashambulia mnawafanyia light foul, mpira unasimamishwa ila mchezaji hapati kadi.

Kupoteza muda. Kipa kulala na mchezaji kuonyesha kaumia anahitaji medical team imtibu. Hapa hapa pia ni medical team kutumia muda mrefu uwanjani.

Tauntings.

Kumzingira kipa muda wa set pieces.

N.k.

Baada ya C115y kupasuka goli la kona juzi ndiyo haya mambo yameanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…