Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Logic ya goli kukataliwa iko wapi? Huyu refa mpuuzi
 
Justin ameamua kumrudishia tena Kai goli kama shukrani ya kumsaidia kwa ile deflection.
 
Dah man city wanahonga aise si mchezo..pamojana kuongezewa dakika 12 ili wasishinde hatimaye ndio wamepigwa wao kitu chenye ncha kali
 
Kenge walivyopata goli nne mapema wakajua watshinda nyingi 🤣🤣🤣
 
Justin ameamua kumrudishia tena Kai goli kama shukrani ya kumsaidia kwa ile deflection.
Na goli la 3 deflection ya nani?

Ndidi, aliyempa assist Justin

You can't make this shit up
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…