Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ukimuona Saka au Kai wamegusa mpira unishtue. Dakika ya 36 sasa hawajui mpira ukoje.
 
Kuna wachezaji kazi yao kumzuia kipa tu asiruke wanajua Magalhaes yupo
 
Dakika 46 Maghahel kawapiga la 2 kufuatia kona. Aliwakosa kidogo dk ya 38 sasa kawapata

Arsena 2 Man City 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…