mwanadodoma
JF-Expert Member
- Mar 12, 2024
- 448
- 933
Liverpool alifungwa 3 na hao Atalanta tena Anfield,hebu kuwa na break na hilo domo lakoNyie wehu mmeondoka na hela yangu jana, ctaki hata kuwasikia. Kama kumfunga tu Atalanta mmeshindwa ndio mnategemea kumfunga City.
Niliimiss game jana, nacheki replay hapa.Kuna kitu watu hawakukiona mechi ya jana.physical fitness ya atlanta ni ya ajabu.wana miili na wana kasi.kolasinac na umbo lake kubwa ila ndani ya atlanta anaonekana wa kawaida.
Hizi ndio game tunazihitaji maana zinampa maswali mengi kocha.
Kocha wa makipa 🙏🏻🙏🏻🙏🏻 kazi yake kwa raya inaonekana hasa kwa short stopping.
Do you believe tunaweza shinda epl na striking force ya kaiUmuhimu wa Kai umeshindw kuonekana leo kutokana na kubadilishiwa role yake uwanjani. Kai Ni bora kuliko jesus wakicheza kam Top forward pale mbele
Na kocha karidhika.Kuna muda unasimama na timu kama mtu wa mpira,ila ukija kama shabiki ni risk kubwa mno kwa namna tulivyoanza msimu huku tukiwa na strike force ya
Harvets
Jesus
Martinel
Saka
Watu walishaacha kumjibu kitambo broLiverpool alifungwa 3 na hao Atalanta tena Anfield,hebu kuwa na break na hilo domo lako
Wanajisifu ku-draw na Atalanta kisa lIver alifungwa msimu ulopita. Amini, few years mbele Man U na Chelsea tunabeba hizi big trophies before hawa wahuni.Mentality ya timu ndogo Ile alosema Rodri.Nyie wehu mmeondoka na hela yangu jana, ctaki hata kuwasikia. Kama kumfunga tu Atalanta mmeshindwa ndio mnategemea kumfunga City.
Acha kumfananisha Cuadrado na takatakaHivi saka,martinell,trossard,rice na hata ode kuna kitu wamejifunza kwa juan cuardrado na zile long shorts zake kwa dakika chache alizocheza?
Imagine kama hao kila mmoja angejaribu shuti moja huenda tungekuwa na hadithi nyingine.
Wakina nani? Hivi na nyie mnaonaga vitu mnavyoandikaga humu kwnye hili jukwaa lenu ni vitu vya watu wenye akili timamu.Watu walishaacha kumjibu kitambo bro
Anaongea vitu visivyo na maana always
Shangaa na wewe!! Hawa ni mazwazwa. Na mwingine anakwambia wana defence bora kisa hawajafungwa na Halland, anasahau sio kila mechi lazima afunge.Wanajisifu ku-draw na Atalanta kisa lIver alifungwa msimu ulopita. Amini, few years mbele Man U na Chelsea tunabeba hizi big trophies before hawa wahuni.Mentality ya timu ndogo Ile alosema Rodri.
tiaNyie wehu mmeondoka na hela yangu jana, ctaki hata kuwasikia. Kama kumfunga tu Atalanta mmeshindwa ndio mnategemea kumfunga City.
Kumbe ni mtu wa kubet?basi sina muda wa ku-argue nawe,endelea kuchaniwa mikekaWakina nani? Hivi na nyie mnaonaga vitu mnavyoandikaga humu kwnye hili jukwaa lenu ni vitu vya watu wenye akili timamu.
Hii Iko waziWanajisifu ku-draw na Atalanta kisa lIver alifungwa msimu ulopita. Amini, few years mbele Man U na Chelsea tunabeba hizi big trophies before hawa wahuni.Mentality ya timu ndogo Ile alosema Rodri.
Tuweke kumbukumbu sawa, Ni lini Gab Martinel amefunga ama ameassist kwa mara ya mwisho ? Kama sijakosea anaenda game 15+ ! Eti winger., huyu ndo awape EPL na UCL, na fowadi kai ? Sajilini vyuma !
HARAMU FOOTBALLExperience ni changamoto.
As of now kila tukicheza na timu za kariba hii dawa ni haram football.