Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ukitaka kumkaba kama mshambuliaji unamkuta zake anacheza kiungo ,mkishambulia unamkuta zake anacheza beki, tukiwashambulia unakuta anacheza mshambuliaji Tena anafika wa kwanza kutupia kamba...

King Kai
View attachment 2956276
"Ukitaka kumkaba kama mshambuliaji unamkuta zake anacheza kiungo ,mkishambulia unamkuta zake anacheza beki, tukiwashambulia unakuta anacheza mshambuliaji Tena anafika wa kwanza kutupia kamba..."

hamis77

 
Next game mwendo ni huu huu.

Kaeni na mpira mnavyotaka ila tunatafuta points
Jamaa ni viazi sana. Miaka Ile gizani kweusi, tunapiga mpira mkubwa bila matokeo, wanatusema.

Miaka hii tukiamua tunapiga pira bora liende huku tunatoka na matokea, nayo hawataki pia.

Wasichoelewa sisi tunachofanya Sasa hivi ni kupunguza gape na City, asitupite nyingi. Af akina Merino wakirudi ndo gari linawaka sasa
 
Timu haina wachezaji wa kikosi cha kwanza imestep up vizuri mi sijaona shida.

Defense ilikua nzuri, shida ya forwards zetu kukosa clear chances bado ipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…