Sterling hana finishing nzuri ya kufanya umuamini awe false 9 au ST.Kupata ushidi walau mmoja katika hizo mechi mkuu ni jambo la kushukuru.
Sina imani na midfield ya partey na jognho. Tuta strugle zidi ya spurs kama tutaingia hivi.
Kama timber yuko fit amalize 8 , calafiori Lb
Safu ya ushambuliji kuanzia sasa awe anafanya rotation
Yaani
martinelli,trossad,sterling
Then
Jesus, kai , saka
Mechi nyingi mno kunaulazima wakufanya rotation ya kikosi kama city nakudeliver quality ile ile.
Ila ingefaa sana tungeanza kumtumia sterling badala ya kai
Mimi naamini raheem sterling ni mzuri kuliko G martineli pia anafaa false 9 kuliko kai kwenye zile 1 vs 1 hata finishing pia .
Ni sahihi kama anacheza pembeni Martinelli au Trossard awe kati. Nataka kuamini kwamba kwenye last game chances alizokosa Odegaard, Kai na Saka Martinelli au Trossard angepata, au tusema tungekua na ST wa kueleweka ilibidi tushinde