Kwangu mimi nawaona liver ndio wapo imara sana,huyu kocha mpya kaleta nidhamu kwenye ulinzi,wakijua tu nafasi watapata,kuna namna kampunguzia majukumu vanKuna hofu naipata,
Inawezekana tumeimarika
Ila wapinzani wameimarika pia.
Liver wanaanza kuwa confortable na mpira,
Aston villa wanakuja na wanaimarika zaidi,
Blues in the making
Man u hawatabiriki hasa kuelekea mwisho wa msimu.ligi hii itakuwa ngumu sana mwaka huu.
Liverpool wataanguka tu ukizingatia wapo UEFA, msimu jana walienda vizuri paka mambo yalipochanganyaKwangu mimi nawaona liver ndio wapo imara sana,huyu kocha mpya kaleta nidhamu kwenye ulinzi,wakijua tu nafasi watapata,kuna namna kampunguzia majukumu van
Sababu za kimpira kwa nini Liver wataanguka?Liverpool wataanguka tu ukizingatia wapo UEFA, msimu jana walienda vizuri paka mambo yalipochanganya
World class forward ni Edu na Arteta ndio wanambwela, sio Kroenke kabisa.Bado Kroenkes hawajafanya vya kutosha...siku wakimpa world class forward na wakiweza ku retain first eleven yte na benchi likiwa limeshiba hapo Sasa wataona wamefanya Kila kitu....huwezi kusema umefanya Kila kitu wakati una strong first eleven ila benchi bdo dhaifu maana mchezaji kuumia ni muda wwte....siku tukishaachana na kina Nelson, Tavares, lokongq na hzi nafasi zao wakachukua watu wa maana ndo utasema Sasa hamna sababu tena ila as long as hzo mbegu zipo basi bdo kikosi kinatengenezwa...we believe
Na kwa nini aanguke liva tu asianguke Arsenal?Sababu za kimpira kwa nini Liver wataanguka?
Unatembelea jukwaa lao kule?
Pamoto balaa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Mawazo aina hiyo ndo yanawafanya msiuchoke huu uziNa kwa nini aanguke liva tu asianguke Arsenal?
Mawazo mengine bhana.
Wee chupi kweli kweli...Arsenali wa kulialia....mbwa nyie!
Declan Rice's Arsenal red card sees Premier League clubs make referees demand
Premier League clubs are calling for more consistency from referees in the aftermath of the red card Declan Rice recieved for Arsenal against Brighton and Hove Albionwww.football.london
Endelea kulialia kombe safari hii pia mtakisikia tu kwenye redio na uefa mnatolewa kwenye makundi na hiyo timu yenu ya chekechea. Mbwa koko nyie!Wee chupi kweli kweli...
Hatupendi sana lugha ngumu na zisizo za kiuana michezoWee chupi kweli kweli...
Sio utamaduni wa jukwaa hili mkuu.Endelea kulialia kombe safari hii pia mtakisikia tu kwenye redio na uefa mnatolewa kwenye makundi na hiyo timu yenu ya chekechea. Mbwa koko nyie!
Kwahiyo ulitakaje? au umeona hapa ni bench la ufundi la timu unayomiliki mtaani kwako?Hatupendi sana lugha ngumu na zisizo za kiuana michezo
Hizi game 3 zijazo za ugenini ndani ya wiki moja.Ufananisho wa tulipokua msimu uliopita baada ya mechi 3 na tulipo msimu huu baada ya mechi 3.
View attachment 3089247
Kichekesho ni kwamba tumeanza kuexperience majeruhi mapema mnoHizi game 3 zijazo za ugenini ndani ya wiki moja.
Kwa namna moja au nyingine itakuwa kipimo kizuri cha progress
Spurs,Atalant,City
Kupata ushidi walau mmoja katika hizo mechi mkuu ni jambo la kushukuru.Kichekesho ni kwamba tumeanza kuexperience majeruhi mapema mno
Sterling hana finishing nzuri ya kufanya umuamini awe false 9 au ST.Kupata ushidi walau mmoja katika hizo mechi mkuu ni jambo la kushukuru.
Sina imani na midfield ya partey na jognho. Tuta strugle zidi ya spurs kama tutaingia hivi.
Kama timber yuko fit amalize 8 , calafiori Lb
Safu ya ushambuliji kuanzia sasa awe anafanya rotation
Yaani
martinelli,trossad,sterling
Then
Jesus, kai , saka
Mechi nyingi mno kunaulazima wakufanya rotation ya kikosi kama city nakudeliver quality ile ile.
Ila ingefaa sana tungeanza kumtumia sterling badala ya kai
Mimi naamini raheem sterling ni mzuri kuliko G martineli pia anafaa false 9 kuliko kai kwenye zile 1 vs 1 hata finishing pia .