Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sterling mchoyo sana,kutaka kufunga mwenyewe
 
Mashabiki wanataka majina makubwa yasajiliwe...

Mashabiki hao hao wanalalamika vijana wa academy hawapewi nafasi ya kucheza na Kocha...
 
Mfano nani mkuu?
 
Gameweek3 unauliza tupo nafasi ya ngapi! ingekuwa ivyo sasa nyinyi mngekuwa mabingwa wa nafasi ya kwanza kuanzia august mpaka April mnakuwa pale juu ila ikifika May tu kazi inakuwa hamna tena.
Kiswahili lugha ngumu sana....au ngoja nibadili swali....mnatarajia kumaliza mkiwa nafasi ya ngapi kwny ligi mkuu🤠🤠🤠....maana safari hii sijui Ulaya unacheza mashindano yapi maana nimejaribu kufatilia bado sijajua
 
Kwanini Pep kagoma kumuuza Alvarez Arsenal?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…