Kama wewe ni shabiki wa Arsenal basi Boli hulijui. Kama siyo shabiki wa Arsenal Unaongea Unafki😅
Mbona Cole palmer aliuzwa man City. Mchezaji kuondoka Timu fulani haimaanishi ni. M bovu. Labda waliopo ni bora kuliko YeyeRahimu toka kaondoka city kafanya nini cha maana? Kwanini city ilimtema? Kwanini Chelsea haimtaki?
Sancho ana uzuri gani? Huyo hata manyu walirogwa kumnunua maana aliwika msimu mmoja tu Dortmund ila Dortmund wenyewe hawamtaki sasa. Hana skills kabisa za winger.
Ushabiki mandazi wenu unafanya msione mambo ya wazi kabisa. Una numbers gani to back them up?
Usinielewe Vibaya . Sijauzungumzia ubora wa Sterling kwa ukubwa hivyo kama ulivyoni note. Kwa uwezo wake kuwa Back up Siyo Mbaya kwa Arsenal hasa ukizingatia wamempata Cheap..Rahimu toka kaondoka city kafanya nini cha maana? Kwanini city ilimtema? Kwanini Chelsea haimtaki?
Sancho ana uzuri gani? Huyo hata manyu walirogwa kumnunua maana aliwika msimu mmoja tu Dortmund ila Dortmund wenyewe hawamtaki sasa. Hana skills kabisa za winger.
Ushabiki mandazi wenu unafanya msione mambo ya wazi kabisa. Una numbers gani to back them up?
Usinielewe Vibaya . Sijauzungumzia ubora wa Sterling kwa ukubwa hivyo kama ulivyoni note. Kwa uwezo wake kuwa Back up Siyo Mbaya kwa Arsenal hasa ukizingatia wamempata Cheap..
Hatuna namna nyingine, ama yeye au Trossard.kwa io unataka kuniambi ST tunasimama na Kai
Ngoja mechi ziendelee hapa.Mbona Cole palmer aliuzwa man City. Mchezaji kuondoka Timu fulani haimaanishi ni. M bovu. Labda waliopo ni bora kuliko Yeye..?
Upungufu Unaonekana kwenye kikosi cha Arteta ni kukosa Top Striker katili. Zaidi Akiwa mbele ya lango. Hilo kulipatia Ufumbuzi siyo la kukurupukia . Inabidi apatikane Striker wa Maana . Mwenye njaa na atakae kusaidia kwa muda mrefu. Hakuna ma Striker Wazuri kwa Wakati huu . Tafuta Muda wako Muangalie Osihmen Vizuri. Muangalia gyrekes Vizuri. Utagundua kuwa Hata Kina lewandoski wazee ni bora kuliko WaoI agree. Yupo on loan. Sterling ni Bora kuliko Sancho. Martinelli kiwango kimeshuka na Jesus spana mkononi ya kuuza Ile kenge. Sterling akiwa fit anaweza saidia.
Hiyo ndo Changamoto yetu. Sehemu nyingine zote ni Za back up tu.Ngoja mechi ziendelee hapa.
Hatuna kikosi kibaya kwenye defense na mid. Changamoto yetu ipo kwa ST basi
Tumpe muda, yupo sehemu salamaKatika maombi yaliyo jibiwa haraka basi ni ya mkorea
View attachment 3083171Maana alikuwa anasema tumchukue sterling ni mashine ya kazi Mungu akaona awabariki yeye na timu yake kwa kuwageuzia iyo furaha ije upande wao
Mkuu umeandika kama vile katoka City kitambo kumbe ana msimu mmoja tu tangu aondoke 😅Rahimu toka kaondoka city kafanya nini cha maana? Kwanini city ilimtema? Kwanini Chelsea haimtaki?
Sancho ana uzuri gani? Huyo hata manyu walirogwa kumnunua maana aliwika msimu mmoja tu Dortmund ila Dortmund wenyewe hawamtaki sasa. Hana skills kabisa za winger.
Ushabiki mandazi wenu unafanya msione mambo ya wazi kabisa. Una numbers gani to back them up?
Upungufu Unaonekana kwenye kikosi cha Arteta ni kukosa Top Striker katili. Zaidi Akiwa mbele ya lango. Hilo kulipatia Ufumbuzi siyo la kukurupukia . Inabidi apatikane Striker wa Maana . Mwenye njaa na atakae kusaidia kwa muda mrefu. Hakuna ma Striker Wazuri kwa Wakati huu . Tafuta Muda wako Muangalie Osihmen Vizuri. Muangalia gyrekes Vizuri. Utagundua kuwa Hata Kina lewandoski wazee ni bora kuliko Wao
Toney ni mtu haswa . Ila club nyingi kubwa Hazimuamini tena kwa ile Kashfa yakeArteta kafeli sana kumuacha Toney that's the closet you can get for a top striker mwenye experience kabisa EPL. Hakuna strikers wazuri available sokoni. Osihmen wa kawaida na conditions kibao kumpata aende zake.
toney amesepa kwa 40mHatuna namna nyingine, ama yeye au Trossard.
Toney alikaa nje msimu mzima kwasababu za kubetArteta kafeli sana kumuacha Toney that's the closet you can get for a top striker mwenye experience kabisa EPL. Hakuna strikers wazuri available sokoni. Osihmen wa kawaida na conditions kibao kumpata aende zake.
Unafahamu Mshahara anaolipwa...?toney amesepa kwa 40m
what does that sound to you bro??
Toney siungi mkonoArteta kafeli sana kumuacha Toney that's the closet you can get for a top striker mwenye experience kabisa EPL. Hakuna strikers wazuri available sokoni. Osihmen wa kawaida na conditions kibao kumpata aende zake.
Toney ameenda kulipwa 400,000 kwa wiki bila makato.toney amesepa kwa 40m
what does that sound to you bro??