Kipa kasajiliwa NetoItabidi apandishwe kipa wa Academy ikiwa hiyo hahahaha
First choice golie akiwa majanga 2 months huyo academy keeper atavusha watu nchi ya ahadi?Itabidi apandishwe kipa wa Academy ikiwa hiyo hahahaha
Kwani mashabiki wa Arsenal wao wanategemea kikombe chochote? Ni mashindano gani wanaweza kushindana mpaka wachukue ubingwa? Wenda ubingwa wa siku moja kama Ngao ya Hisani siyo hizi za mbio ndefu...Anaandika mdau:
Manchester City won the league back to back - Signs Haaland
Real Madrid won a league and UCL double - Signs Mbappe
Arsenal with zero league titles in 20yrs trying to overtake Man City - ??????????????????????
Ndo maana akina Flano wanatuona ni jukwaa la vichekesho
hatuko serious kabisaa hata toney tumemshindwa.....Anaandika mdau:
Manchester City won the league back to back - Signs Haaland
Real Madrid won a league and UCL double - Signs Mbappe
Arsenal with zero league titles in 20yrs trying to overtake Man City - ??????????????????????
Ndo maana akina Flano wanatuona ni jukwaa la vichekesho
Tunahusishwa na Sterling, ndo surprise package etihatuko serious kabisaa hata toney tumemshindwa.....
Tofauti ya points za bingwa na arsenal msimu uliopita ni ngapi?Anaandika mdau:
Manchester City won the league back to back - Signs Haaland
Real Madrid won a league and UCL double - Signs Mbappe
Arsenal with zero league titles in 20yrs trying to overtake Man City - ??????????????????????
Ndo maana akina Flano wanatuona ni jukwaa la vichekesho
Sterling wa kazi gani?!usajili wa sterling kama ukikamilika.. naona ataenda kutumika zaidi eneo analocheza kai kwa sasa.
Angesajiliwa naniArteta hayupo serious, tuna kiazi kai, halafu anaenda kutuletea bogus sterling,
Tutashinda shinda game nyingi lakini KIKOMBE sifikirii
olise, toney,bowen,sane,eze n.kAngesajiliwa nani
Hao wote uliowataja ni wachezaji wazuri. Lakini hawakupi Warranty ya kushindania makombe makubwa. Kiiiidooooogoooo Saneolise, toney,bowen,sane,eze n.k
Mkipunguza yale makalio ya Sterling atakuwa mchezaji mzuri sanaSterling wa kazi gani?!
Hapo Darajani Salenda huwa mnavuta bangi?Nakuhakikishia siku tukikutana na ninyi , huu uzi wenu mtaukimbia , tutawabonda kwa hasira na malipizi ya visasi makubwa .
Kile kipigo cha mbwa koko alichopata wolves kitawakumba na ninyi , kiufupi round hii hamtoki salama mkikutana na Chelsea