Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Dk 45 wamepumzika
Arsenal akiwa na udhibiti wa asilimia 69
Wote wamepoteza nafasi 1 muhimu kupata goli
Mashuti golini Vila 3 na Arsenal 4
Martinez ameiokoa Villa mara 2 na Raya wa Arsenal mara 1
Kona 1 kwa arsenal, Villa hawana.
Makosa ya uwanjani arsenal wamefanya mara 8 na Villa mara 3
Kupokezana mpira Arsenal wamepeana mara 300 na Villa wakipeana mara 134.

Ni hivyo kwa uchache
 
Pia kumbuka Rice (Mchele - itakuwa babake msukuma huyu😃) amepata kadi ya njano dk ya 49 zile za fidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…