Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tumecheza na timu ngumu na huku tukiwa hatuna fluidity ya siku zote na matokeo ni haya.

Nafikiri tutakua sawa zaidi kuanzia mechi ya 3. Havertz bado hajabadilika, upande wa kushoto wote ulikua hovyo na defense ya Wolves ilikua serious na upande wa kulia.

#WeMove
 
Mbona nimeona kama mtu kainama halafu akasikwa tako
kile sio kitendo cha uanamichezo na kinapaswa kukemewa, ni Jesus alikua ameinama style kama ya chuma mboga akipoteza muda, ndio yule mpemba akamtia kidole kwa makusudi kabisa.
Mbaya zaidi alietiwa kidole ndio kapewa kadi ya njano baada ya kukasirika na kumsukuma yule mpemba.
Hapa wazungu wanatufundisha ushoga hauna shida, ila kuonyesha hasira kwa kitendo unatakacho fanyiwa na basha ni kosa.
 
Huyu beki 3 wa wolves, ni anakiwasha, msimu uliopita nilimuina game kadhaa, na leo nimemuona ni yule yule.
 
Nadhani tunamuhitaji MTU kama Eze akae winga ya kulia, partey ashaanza kuchoka, tumpate hata Fabian Luiz kwa mkopo, na Merino
 
Yule beki sisi tunaenda kumsemea kwa The butcher Lisandro Martinez atulipizie....vijana wa South America wahuni na washenzi sana🤠🤠
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…