Wakuu msaada unahitajika, misimu yote hua naangalia ligi zote kwa Bein Tv Channels kupitia Yacineapp.
Leo Yacineapp imegoma kufunguka inataka nidownload upya, nikienda kwenye option ya kudownload na kuinstall setting zote ila nikifungua app bado wananiletea ujumbe wa kudownload.
View attachment 3066095