Will Jr
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 5,125
- 7,521
#6/8 hybridHivi ni mm tu nayemtaka Zubimendi. Yaan jamaa ni press resistant. Uchukui boli.
#6/8 hybridHivi ni mm tu nayemtaka Zubimendi. Yaan jamaa ni press resistant. Uchukui boli.
Ligi tunakupiga nje ndani, ukijitahidi sana utapata draw kwako, point nne zetu lazima km kawaida.Na bado
Hakuna tatizo kabisa utachukua point nne ila ubingwa haubebi.Ligi tunakupiga nje ndani, ukijitahidi sana utapata draw kwako, point nne zetu lazima km kawaida.
mwaka huu wa invincibleHakuna tatizo kabisa utachukua point nne ila ubingwa haubebi.
Anaweza mchukua De Jong, nimeona Barca wamemuoffer kwa Man u, akienda city hapo tutakuwa tumeisha.Duuuh
Alvarez to Atletico Madrid
Guardiola ana respond vipi sijui!!!!
Mara paaap, OSIMNHEM/GYOKERES to Man City
FDJ akienda CITY lazima MAJI YAITWE MMA hapo EPL na ULAYA kwa ujumla.Anaweza mchukua De Jong, nimeona Barca wamemuoffer kwa Man u, akienda city hapo tutakuwa tumeisha.
Tupo mkuuNinyi walevi mpo ?
Huyu de jong angetufaa kabisa, anaendana na style yetu ya kucheza.Anaweza mchukua De Jong, nimeona Barca wamemuoffer kwa Man u, akienda city hapo tutakuwa tumeisha.