Nyumbu wanaingia kwenye ligi huku wakikitegemea hiki kitoto Kama kiungo tegemeziNawaona manyumbu huko kwenye mitandao mingine bado wanamuandama Saka kwamba eti yeye ndio aliyesababisha lile goli la pili kwa kumuachia mwanya cucurella akapiga ule mpira mrefu uliozaa goli.
Wanasahau kwamba Saka alikuwa na kazi kubwa sana ya kushambulia na muda huo huo kukaa karibu na Nico william kumsaidia Walker, maana Walker peke yake tu alionekana hamuwezi yule dogo, mbali na hivyo pia Saka alihusika kwenye build up ya goli walilopata England.
Halafu walivyokuwa wanafiki kuna hiki kitoto chao ambacho walikiimba sana baada ya kushine kwenye mechi mbili tu, mechi ya jana kilikuwa kina slow down mipira tu, pass karibu zote kilizopiga kwenda mbele hazikuzaa matunda kwa sababu ya timing mbovu... lakini hatuwaskii kabisa wakikiongelea jinsi kilivyo flop, wao wanakomaa na Saka tu.View attachment 3043451
Ndio maana walifungwa, katoto badala kacheze mpira kamekaa kanakanda NGANO 😂, kanaonekana ni kapiga nyeto sana haka. 😂🤣Nawaona manyumbu huko kwenye mitandao mingine bado wanamuandama Saka kwamba eti yeye ndio aliyesababisha lile goli la pili kwa kumuachia mwanya cucurella akapiga ule mpira mrefu uliozaa goli.
Wanasahau kwamba Saka alikuwa na kazi kubwa sana ya kushambulia na muda huo huo kukaa karibu na Nico william kumsaidia Walker, maana Walker peke yake tu alionekana hamuwezi yule dogo, mbali na hivyo pia Saka alihusika kwenye build up ya goli walilopata England.
Halafu walivyokuwa wanafiki kuna hiki kitoto chao ambacho walikiimba sana baada ya kushine kwenye mechi mbili tu, mechi ya jana kilikuwa kina slow down mipira tu, pass karibu zote kilizopiga kwenda mbele hazikuzaa matunda kwa sababu ya timing mbovu... lakini hatuwaskii kabisa wakikiongelea jinsi kilivyo flop, wao wanakomaa na Saka tu.View attachment 3043451
Ndio maana walifungwa, katoto badala kacheze mpira kamekaa kanakanda NGANO 😂, kanaonekana ni kapiga nyeto sana haka.Nawaona manyumbu huko kwenye mitandao mingine bado wanamuandama Saka kwamba eti yeye ndio aliyesababisha lile goli la pili kwa kumuachia mwanya cucurella akapiga ule mpira mrefu uliozaa goli.
Wanasahau kwamba Saka alikuwa na kazi kubwa sana ya kushambulia na muda huo huo kukaa karibu na Nico william kumsaidia Walker, maana Walker peke yake tu alionekana hamuwezi yule dogo, mbali na hivyo pia Saka alihusika kwenye build up ya goli walilopata England.
Halafu walivyokuwa wanafiki kuna hiki kitoto chao ambacho walikiimba sana baada ya kushine kwenye mechi mbili tu, mechi ya jana kilikuwa kina slow down mipira tu, pass karibu zote kilizopiga kwenda mbele hazikuzaa matunda kwa sababu ya timing mbovu... lakini hatuwaskii kabisa wakikiongelea jinsi kilivyo flop, wao wanakomaa na Saka tu.View attachment 3043451
£86m for someone who is yet to prove himself in any top five league??[emoji599] || Arsenal[emoji1022] are reportedly now prepared to pay the requested £86m, to Sporting CP[emoji1201] for Viktor Gyökeres[emoji1236] [Via - @StandardSport / @LeoninoPT].
Zinaanzaga Kama rumors
Moja wapo ya timu ambayo siihesabu kabisa kama itakuwa ni kikwazo kwenye mbio zetu za ubingwa basi ni nyumbu wa matofalini.Nyumbu wanaingia kwenye ligi huku wakikitegemea hiki kitoto Kama kiungo tegemezi
Mimi ninachojua nyumbu wameshika points zetu 6
huu ndo mwaka wa kufosi sasaIt's a matter of timeView attachment 3045198
Kwa huo muda aliopumzika wakati wenzake wako kwenye recovery ya michuano ya Euro na copa America nafikiri hii itampa uhakika wa kuanza kwenye game za mwanzo na yeye sasa akomae kuhakikisha ana win trust ya kocha.It's a time for Fabio Vieira [emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 3045203
[emoji16][emoji16][emoji16] Mwanangu mwenyewe huyo Masingeli alisha Log of kitambo mno, sasa hivi anachungulia tu kama guest.Aaron Arsenal uko wapi?
Mwanangu flano huwa unatusagia kunguni kinoma[emoji16][emoji16][emoji16] Mwanangu mwenyewe huyo Masingeli alisha Log of kitambo mno, sasa hivi anachungulia tu kama guest.
Arsenyo nimeona mmetoa uzi wenu wa Ugenini kiukweli jezi ni kali kinoma, ila jezi nzuri bila kubeba kombe ni sawa na kuwa na demu mkali halafu mashine haisimami. View attachment 3046308