Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Purple panel anasema tushamalizana na mchezaji, mi simpingi
 
Arsenal nawapenda kwa sababu hawachani mikeka yangu ni kama Bayer leverkusen kule ujerumani

ila ukweli arsenal mnazingua Sana 😃😃😃😃
 
Arteta on how many points we need to win the league:

"Let's start with 114 and see what we get."

Mathematically: 38 games × 3 points

[@espn]
 
Mkorea umeanza kupoteza tena akili zako msimu huu hatutakubali uweuke na sisi ndugu zako tupo lazima tukupeleke milembe ukatulie huko.
Arteta on how many points we need to win the league:

"Let's start with 114 and see what we get."

[@espn]
Wafuatao wanatuchangia points 6
1. Kenge fc
2. Nyumbu fc
3. LiverPunda fc
 
Nawakumbusha tena kusajili mkuu...huwa unakuwa mwepesi sana kuingia mitini mkianza kula ndonga za uso🤠🤠..halafu ukirudi unaanza kumtukana kocha kama huwa unamsaidia kufundisha vile
Unanishaurije? Wakati wote tulitoka patupu mjomba? Huo ushauri ungefaa umpe Arteta aache kuwatesa, mpk wengine washawehuka wanataka watupwe mto wami.
 
Unanishaurije? Wakati wote tulitoka patupu mjomba? Huo ushauri ungefaa umpe Arteta aache kuwatesa, mpk wengine washawehuka wanataka watupwe mto wami.
Nilifungua ligi kwa kubeba sinia la maandazi🤠🤠...lakini nikukumbushe tu msiposajili tena vizuri safari hii zile 5 tulizowadunda pale Imarate tutakuja kuwadundia pale darajani....yaani mpk half time tutahakikisha mshakula 4
 
Unawashwawashwa sana mkuu🤠🤠...nyny mnasajili mbona sisi hatuwafatilii...mmekuwa na Tabia kama za bilionea wenu tajiri miluzi...yaani kutwa kutufatafata Arsenal
Mnajua tajiri yetu akiamua usiku huu unamkuta darajani mambo madogo madogo hayamshindi
 
Hatujasajili ila nzi kama wote,pre-season bado ila hofu kila mahali.its time
 
Katika maisha haya yasiyotabirika nimejifunza saana umuhimu wa kuinjoi moments badala ya mwisho wa jambo.

Arsenal ni mashabiki pekee waliokuwa na furaha kwa msimu mzima.mwisho wa msimu ndo hatukufurahi kama tulivyotarajia and we are okay
Haya ndo maumivu tuliyazungumzia humu

MAUMIVU KUTOKA TIMU YAKO + MAUMIVU KUTOKA ARSENAL

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…