Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,875
- 16,442
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ten Hag ni akili kubwa, kocha la makombe.Katika kitu nilichoshukuru na kufurahiq ni bichwa mzinga ten hag kubaki....yaani ni baraka kwakwli...point sita tyri tunazo kabla hata ligi haijaanza[emoji1783][emoji1783]...Ineos miaka 100 kwao....na wampe mkataba wa miaka 5 kwakwli
Ten Hag ana miaka miwili tu United lakini ana mafanikio makubwa kuliko huyo Tetea wenu mwenye miaka 5.
Tafuteni kocha wa kueleweka ndugu zangu, la sivyo kila msimu mtakua mnashia kua wasindikizaji tu kwenye kila michuano.