Arsenal (The Gunners) | Special Thread


Huenda wewe ndiye mwenye matumaini hewa na hiyo Newcastle yako.
 
We jamaa kubwa Zima unajiita dogo. Kwahiyo hata kombe la Dunia 2010 South Africa haujaangalia.
EPL mechi zote zilikuwa usiku??
We sema umeanza kushabikia mpira

ukubwani.

We jamaa kubwa Zima unajiita dogo. Kwahiyo hata kombe la Dunia 2010 South Africa haujaangalia.
EPL mechi zote zilikuwa usiku??
We sema umeanza kushabikia mpira ukubwani.
Kweli saizi mim Ni mkubwa Sana 27+yrs,ila sikubahatika kuiona hio Arsenal nyie mnayosema ya wenga sijui ,Kwa hiyo mkiona sishabikii hayo matimu yenu ya 1990 Ni swala la kawaida Sana ....

Arsenal imepata mashabiki wengi Enzi za Wenger 2000-2003 mnachukua unbeaten kama sikosei ,na kama wewe ulikuwa unaangalia mpira Enzi hizo unatakiwa kuwa shabiki WA Arsenal na uko sahihi ,Sisi ambao hatukuwepo Hatuna sababu yeyote ya kushabikia hili timu .....!!

Yaani sijabahatika kuona hayo matimu yenu mazee mnayoita sijui timu kubwa ,timu kubwa Ni MAN CITY tu ......kama unabisha leta timu yako uwanjan tukuoneshe
Ni suala la muda tu Man city nao wanapoteana. Mpira bana! Hasa uingereza, mpira haueleweki kabisa. Tim ikipoteana inapoteana kweli! For years!
Sisi hata tukipotea lakin kichapo tumechopeke kwenye hizi timu zenu ,hakitakuja kusahaulika ....

Hakuna timu itakuja kushinda PL Mara 4 mfululizo ...haipo never .πŸ˜‚
 
mwenye picha ya kai naiomba
 

Attachments

  • IMG_20240525_225238.jpg
    227.7 KB · Views: 14
Nimekwambia hivyo sababu, kabla City hajarudi kwenye peak, nae alikua anatembezewa kichapo. All in all ni ushabiki tu hapa
 
Huenda wewe ndiye mwenye matumaini hewa na hiyo Newcastle yako.
Kaa ufikiri tena mkuu narudis tena zimebaki game 5 uwe bingwa only 5 games 🎯 na bado ukachoma 🍼.
ile season ilibaki game 8 mkachoma , rodri aliwachana mlienda etihad mkiwa na mentality ya loser.

Hamieni kwenye tetesi za usajili mwiteni pastor mackenzie aje awape tena false hopes mpaka mwezi wa 8 mtembee na false hopes ila ikishaanza kufika April_ May mnakuja kugundua kuwa mko born as loser as long ni shabiki wa false hopes fc
 
Wakuu wa vitengo vya false hopes tunawakaribisha kwenye ungwe ya tetesi za mastaa ulayaπŸ˜‚
wakuu wa vitengo false hoper mkorea kwa hisani ya false hope hii hapa chini karibu
 

Attachments

  • Screenshot_20240519-212351.png
    255.6 KB · Views: 20
  • Screenshot_20240519-212351.png
    255.6 KB · Views: 16
Leo tulale na hizi hopes 2 zilizoshushwa mnamo march na False hoper msaidizi bwana Arsenal 2004πŸ˜‚πŸ˜‚
Aston villa aliambiwa atakula kono la nyani
 

Attachments

  • Screenshot_20240519-230012~2.png
    291.5 KB · Views: 20

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…