We jamaa kubwa Zima unajiita dogo. Kwahiyo hata kombe la Dunia 2010 South Africa haujaangalia.
EPL mechi zote zilikuwa usiku??
We sema umeanza kushabikia mpira
ukubwani.
Kweli saizi mim Ni mkubwa Sana 27+yrs,ila sikubahatika kuiona hio Arsenal nyie mnayosema ya wenga sijui ,Kwa hiyo mkiona sishabikii hayo matimu yenu ya 1990 Ni swala la kawaida Sana ....We jamaa kubwa Zima unajiita dogo. Kwahiyo hata kombe la Dunia 2010 South Africa haujaangalia.
EPL mechi zote zilikuwa usiku??
We sema umeanza kushabikia mpira ukubwani.
Kwamba Paqueta ni Gambler? Dah ! Shetani anaondoka na kijiji kikubwa sana.Sijaona mahali kuwa huyu Paqueta anaweza kulimwa ban ya miaka kumi kwa sakata la mambo ya betting kweli?
Kwamba Paqueta ni Gambler? Dah ! Shetani anaondoka na kijiji kikubwa sana.
Yah! Uzuri wazungu wakiwa wanafanya upelelezi wao huwa hawana haraka, wapo radhi kusubir hata miaka 10. Ila taarifa itakayotoka hapo ni pure.Inasemekana kuna uhuni alifanya kwa kujipatisha kadi za njano kwa makusudi ili kuchekecha betting odds...
Ten-year ban for Lucas Paqueta? West Ham fear Brazil star's career may be over if found guilty of betting breaches
Lucas PaquetaWest HamPremier League
West Ham's Lucas Paqueta has been charged with four instances of spot-fixing and the Hammers fear the forward's career could potentially be over.
WHAT HAPPENED?
On Thursday, Paqueta was officially charged by the Football Association for alleged breaches of betting regulations. The charge relates to four instances where Paqueta allegedly deliberately received a yellow card during West Ham's clashes against Leicester, Aston Villa, Leeds and Bournemouth in 2022 and 2023. The Brazilian has completely denied the allegations and has vowed to clear his name.
Source: Goal.com
Kwamba Paqueta ni Gambler? Dah ! Shetani anaondoka na kijiji kikubwa sana.
Kwenye pesa kuna mambo mkuu.Yah! Uzuri wazungu wakiwa wanafanya upelelezi wao huwa hawana haraka, wapo radhi kusubir hata miaka 10. Ila taarifa itakayotoka hapo ni pure.
Kiufupi biashara ya betting imekuja kuharibu sana soka kwa baadhi ya ligi, ligi ya Italia naona huwa kuna rumours kuwa wanahusika na kupanga matokeo especially mwisho wa msimu.
Unalalamika sana bobu shida nini??, ligi imeisha isha sasa, we nenda ka enjoy tuachie jukwaa letu budda, ukija next time kuja na mada nyingine.Kweli saizi mim Ni mkubwa Sana 27+yrs,ila sikubahatika kuiona hio Arsenal nyie mnayosema ya wenga sijui ,Kwa hiyo mkiona sishabikii hayo matimu yenu ya 1990 Ni swala la kawaida Sana ....
Arsenal imepata mashabiki wengi Enzi za Wenger 2000-2003 mnachukua unbeaten kama sikosei ,na kama wewe ulikuwa unaangalia mpira Enzi hizo unatakiwa kuwa shabiki WA Arsenal na uko sahihi ,Sisi ambao hatukuwepo Hatuna sababu yeyote ya kushabikia hili timu .....!!
Yaani sijabahatika kuona hayo matimu yenu mazee mnayoita sijui timu kubwa ,timu kubwa Ni MAN CITY tu ......kama unabisha leta timu yako uwanjan tukuoneshe.......
Ulianza kuleta mambo ya history mim Sina muda WA kugoole mafanikio ya timu flani wakati timu kubwa naiona live kwenye tv week in week out ....
Treble winner Naona live..
4- peat Naona live ...
First pl club to win domestic quadruple....Naona live
Harafu uanze kusema unajua zamin united ilikuwa this ,that and that .....I was not there bro ......au sijui Arsenal was this and this ......sikuwepo budaaa.... believe in yourself
Kachukue jezi ucheze mkuu🤠🤠....mna kikosi cha kijinga sana....na Ten Hag kasema haondoki labda mlete mawinchi kumtoa ila hihihivi hatoki...maana sio kosa lake ila michezaji yenu haifundishikiArsenyo nyie ndugu zetu wa damu kabisa, kama ni familia basi sisi ni kaka zenu wakubwa halafu nyinyi ni our little sister's, hivyo tunawaomba mje kwa wingi kwenye dimba la Wembley na wengine mkajazane vibandaumiza mtushangilie kaka zenu, huenda kelele zenu zikasaidia msimu huu tukamaliza na chochote kitu ili tuwatambie vizuri. View attachment 2998982
Arsenyo nyie ndugu zetu wa damu kabisa, kama ni familia basi sisi ni kaka zenu wakubwa halafu nyinyi ni our little sister's, hivyo tunawaomba mje kwa wingi kwenye dimba la Wembley na wengine mkajazane vibandaumiza mtushangilie kaka zenu, huenda kelele zenu zikasaidia msimu huu tukamaliza na chochote kitu ili tuwatambie vizuri. View attachment 2998982
Ni suala la muda tu Man city nao wanapoteana. Mpira bana! Hasa uingereza, mpira haueleweki kabisa. Tim ikipoteana inapoteana kweli! For years!Kweli saizi mim Ni mkubwa Sana 27+yrs,ila sikubahatika kuiona hio Arsenal nyie mnayosema ya wenga sijui ,Kwa hiyo mkiona sishabikii hayo matimu yenu ya 1990 Ni swala la kawaida Sana ....
Arsenal imepata mashabiki wengi Enzi za Wenger 2000-2003 mnachukua unbeaten kama sikosei ,na kama wewe ulikuwa unaangalia mpira Enzi hizo unatakiwa kuwa shabiki WA Arsenal na uko sahihi ,Sisi ambao hatukuwepo Hatuna sababu yeyote ya kushabikia hili timu .....!!
Yaani sijabahatika kuona hayo matimu yenu mazee mnayoita sijui timu kubwa ,timu kubwa Ni MAN CITY tu ......kama unabisha leta timu yako uwanjan tukuoneshe.......
Ulianza kuleta mambo ya history mim Sina muda WA kugoole mafanikio ya timu flani wakati timu kubwa naiona live kwenye tv week in week out ....
Treble winner Naona live..
4- peat Naona live ...
First pl club to win domestic quadruple....Naona live
Harafu uanze kusema unajua zamin united ilikuwa this ,that and that .....I was not there bro ......au sijui Arsenal was this and this ......sikuwepo budaaa.... believe in yourself
Nyumbu tume leta timu leo..mtuonyesheKweli saizi mim Ni mkubwa Sana 27+yrs,ila sikubahatika kuiona hio Arsenal nyie mnayosema ya wenga sijui ,Kwa hiyo mkiona sishabikii hayo matimu yenu ya 1990 Ni swala la kawaida Sana ....
Arsenal imepata mashabiki wengi Enzi za Wenger 2000-2003 mnachukua unbeaten kama sikosei ,na kama wewe ulikuwa unaangalia mpira Enzi hizo unatakiwa kuwa shabiki WA Arsenal na uko sahihi ,Sisi ambao hatukuwepo Hatuna sababu yeyote ya kushabikia hili timu .....!!
Yaani sijabahatika kuona hayo matimu yenu mazee mnayoita sijui timu kubwa ,timu kubwa Ni MAN CITY tu ......kama unabisha leta timu yako uwanjan tukuoneshe.......
Ulianza kuleta mambo ya history mim Sina muda WA kugoole mafanikio ya timu flani wakati timu kubwa naiona live kwenye tv week in week out ....
Treble winner Naona live..
4- peat Naona live ...
First pl club to win domestic quadruple....Naona live
Harafu uanze kusema unajua zamin united ilikuwa this ,that and that .....I was not there bro ......au sijui Arsenal was this and this ......sikuwepo budaaa.... believe in yourself
Nawasalimu😃Msimu huu Mungu akasaidia tukaamka na ule upepo wetu siku ya fainali ya FA tukachukua hilo kombe sijui mtaambia nini ulimwengu... Ilikuwaje Man U akawa na mafanikio makubwa kuliko nyinyi