Ferguson pia kuna kipindi alikua ni hatari kuliko Pep mwisho wa siku wakaja wengine.kikubwa Arsenal tuendelee na mikakati. We are almost there.Ni ngumu ila tunatakiwa kujitahidi.
Pep ni mtu mwingine kabisa na Man City yake. Wao kila mwaka wapo pale juu, huku sisi wengine tunasindikaza kwa kupokezana. Ona sasa Villa kaingia top 4. Last season, Man United na Newcastle walikuwepo ila sasa hawana uhakika hata wa Europa. Ligi tamu sana hii.
FA hauwezi ilinganisha na Champions league spot mzee.Msimu huu Mungu akasaidia tukaamka na ule upepo wetu siku ya fainali ya FA tukachukua hilo kombe sijui mtaambia nini ulimwengu... Ilikuwaje Man U akawa na mafanikio makubwa kuliko nyinyi
Tukishinda FA nimesoma sehemu humu kuwa tunagurantee kwenda Europa/conferenceFA hauwezi ilinganisha na Champions league spot mzee.
Sasa hii si troll page? Kama zile zingine tu. Akiamka siku nyingine ataanza tena banteringDogo amekuwa mpole sana baada ya kumshambulia Klopp kwa muda mrefu sasa amekubali uhalisia kuhusu kushindana na Pep.
View attachment 2990507
Kwel kabisa, kufikisha point 99 ama 97 na bado usiwe bingwa unaanzaje kutoa lawama.Dogo amekuwa mpole sana baada ya kumshambulia Klopp kwa muda mrefu sasa amekubali uhalisia kuhusu kushindana na Pep.
View attachment 2990507
Nataka kusema Ferguson ashapitwa sana tu na Guardiola aisee. Kuna mambo Guardiola amefanya katika kushinda ambayo Ferguson hajawahi. Hata Klopp naweza kusema kamfunika Fergie. Kama Klopp angekutana na Fergie yule, kwa mpira huu alioupiga Liverpool, Klopp ndiye angekuwa habari ya mujini.Ferguson pia kuna kipindi alikua ni hatari kuliko Pep mwisho wa siku wakaja wengine.kikubwa Arsenal tuendelee na mikakati. We are almost there.
Tunaanza phase 4 muda si mrefu. Yaani kwa wachezaji itakuwa ni mwendo wa 'toa chuma, weka chuma'. Hao akina Nelson, Tierney, Nketiah...hawatakuwepo. Utakutana na akina Sesko, Xavi Simmons....Ni shida ππ
Uzuri mnafurahia msimu mzima ila mwisho wa msimu mnakuwa hamna furaha kabisaπTunaanza phase 4 muda si mrefu. Yaani kwa wachezaji itakuwa ni mwendo wa 'toa chuma, weka chuma'. Hao akina Nelson, Tierney, Nketiah...hawatakuwepo. Utakutana na akina Sesko, Xavi Simmons....
Kama mkorea anavyosema 'maji mtaita mma'
Tunaanza phase 4 muda si mrefu. Yaani kwa wachezaji itakuwa ni mwendo wa 'toa chuma, weka chuma'. Hao akina Nelson, Tierney, Nketiah...hawatakuwepo. Utakutana na akina Sesko, Xavi Simmons....
Kama mkorea anavyosema 'maji mtaita mma'
Mngojee am running out of energy πSelikavu ...
Siyo mimi aisee. Namponda sana Arteta ila huwa napenda kuangalia mema pia.
Ukicheki misimu yetu iliyopita na tulipo sasa:
2019/20 - 8th -56 points
2020/21 - 8th - 61 points
2021/22 -5th - 69 points
2022/23 -2nd - 84 points
2023/24 - 2nd - 86 points. Bado mechi moje. Uwezekano wa kumaliza na 89 upo.
Hii inaonesha tunafanya maboresho, yapo kidogo, msimu kwa msimu.
Tumetoka kutamani top 4 na kufurahia kuingia ulaya, sasa tunataka ubingwa na tumeonesha tunataka kuwa timu kubwa EPL na Ulaya kwa ujumla.
Tatizo ni kupata ile hali ya kuchoka kupambana. Ila tukiendelea hivi, hatuna haja ya kuwa na wasiwasi. Yajayo yanafurahisha.
Kwani huyo van persie huko alikokimbilia alishinda makombe mangapi na pancha zake?? Na je hakuwahi kuwa flop?? Au si ajabu hata hukumuona umesimuliwa tuUshindwe kubeba ubingwa na van persie uje uchukue na maflop ya man cityππππππ
Hana kombe lolote la maana huyo Son, hilo unalosema la mabingwa ni kombe gani sasa... Asia games? Michuano ambayo kuna baadhi ya wachezaji huwa hawashiriki sababu muda mwingine huwa inachezwa kati kati ya misimu? Hebu acha utani sidhani kama yeye mwenyewe huwa anajivunia hiyo medal... maana amecheza michuano mingi mikubwa na kaambulia patupu.Huyo jamaa ana kombe la mabingwa bara la asia, tena alichukua akiwa captain
Losing medal doesn't count anyway...no one remembers the losers, ndio maana watu kama Sergio Ramos anakwambia kwenye kabati lake hana runners up medal hata moja, huwa anazigawa.Ana medal ya Uefa yule Kama Club yako mafanikio yake makubwa kubeba medal ya mshindi wa pili Uefa
Bwana Josep Guardiola ameitia najisi hii ligi, yaani amefanya ionekane kuchukua ubingwa ni kitu rahisi sana na pia vile vile ni kitu kigumu sana....how?Ni ngumu ila tunatakiwa kujitahidi.
Pep ni mtu mwingine kabisa na Man City yake. Wao kila mwaka wapo pale juu, huku sisi wengine tunasindikaza kwa kupokezana. Ona sasa Villa kaingia top 4. Last season, Man United na Newcastle walikuwepo ila sasa hawana uhakika hata wa Europa. Ligi tamu sana hii.
.Nimeota mchana huu kuwa game ya leo itaishia hivi
Tottenham Hotspurs 1-1 Manchester city
Na atakaechomoa goli la city ni Mateo Kovac
Bado masaa kadhaa tu tuone utabiri huu.
..Moja ya kitu kinachonipa matumaini kwamba leo Spurs anaturejeshea nafasi ya kuchukua ubingwa ni rekodi mbovu aliyonayo Guardiola nyumbani kwa Spurs.
Pep Guardiola has never won any premier league match at Tottenham Hotspur Stadium ever since he came to England, out of all 7 visits he has barely managed to collect 2 draws and suffered 5 losses.
Now it is my great anticipation to see our dear neighbours putting their energy to make sure this perennial winless streak prevail... at least this is the only good record they can brag of for us.