Arsenal (The Gunners) | Special Thread

ile game arsenal a mwisho kufungwa imewacost sana, poleni sana
 
Wakuu usiku mwema... binafsi ndio nimehitimisha rasimi kuangalia mechi za EPL usiku huu kwa msimu huu. Nafikiri tukutane tena msimu ujao kunako majaliwa.

Ila yule mkorea akili hana hata kidogo, na kwa zile papara para zake ndio maana mpaka leo hii hana hata medali ya kikombe cha uji.... mshenzi sana yule ameikosesha dunia furaha
 
Ni dunia gan unaiongelea
πŸ˜‚
 

Attachments

  • FB_IMG_17021997197292803.jpg
    375 KB · Views: 10
Huyo jamaa ana kombe la mabingwa bara la asia, tena alichukua akiwa captain
 
DaaaaahπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tulikubaliana kila mtu ashinde mechi zake, lawama kwa spurs zinatoka wapi?

Wakati msimu unaanza tuliomba ushirikiano wenu ili kumpindua Pep, tukawa tunawasaidia kumpunguza nguvu city,villa na liverkuku mkatuona sie vilaza mkajiona mna uwezo wa kupambana peke yenu. Sasa tumewaachia mjambe naye wenyewe mmerudi kuomba msaada kwa spurs.

Hamna shukrani nyie, acha sisi tuchukue FA halafu tuonyeshane makabati ya vikombe na sio mambo ya overload na inverted full back (Havertz akiwa national team) kucheza kama CF aisenoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…